Wednesday, February 03, 2010

Ligi Kuu ya Vodacom

Shughuli kuendelea leo

Ligi Kuu ya Vodacom inatarajiwa kuendelea leo katika viwanja mbali mbali. Michezo itakayopigwa leo ni:

Yanga vs JKT
Kagera Sugar vs Simba
Mtibwa vs Majimaji
Toto vs Manyema

15 comments:

  1. lazima tuwapigishe kwata

    ReplyDelete
  2. lazima tuwapigishe kwata

    ReplyDelete
  3. sekunde ya 45

    Yanga 1 JKT 0 - Mrisho Ngassa

    ReplyDelete
  4. Huko Kagera mambo bado 0-0 - halftime

    ReplyDelete
  5. huko Bukoba: Simba 1 Kagera 0

    ReplyDelete
  6. Huko Bukoba 1-1 mpira unaendelea

    ReplyDelete
  7. naona hao wana msimbazi ni mwaka wao..tukubali mnyama bingwa mwaka huu...
    asante CM n

    ReplyDelete
  8. wewe unaesema mwaka wao ni mnyama tena tusikusikie tena humu ndani nyama we!!!!! °çé*°§§§°° U mijitu mingine bwana

    ReplyDelete
  9. FULL TIME:

    KAGERA SUGAR 1 SIMBA 1

    Kwa msimu wa tatu mfululizo Kagera Sugar imefanikiwa kuharibu rekodi ya timu ambazo zilikuwa zimeshinda mechi zote.

    2007/08 - Prisons
    2008/09 - Yanga
    2009/10 - Simba

    ReplyDelete
  10. rada ya nini si yanga kashinda 1-0

    ReplyDelete
  11. Aminia CM. Nakuaminia kaka. SGM-USA . Nadhani umenielewa.

    ReplyDelete