Monday, February 08, 2010

Yanga vs Mtibwa Sugar
Harakati za ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom inaendelea tena leo kwenye Uwanja wa Uhru wakati Yanga itakapopambana na Mtibwa Sugar.

Yanga ambayo awali iliomba mchezo huo uahirishwe, sasa itautumia mchezo huo kama mazoezi kabla ya kupambana na FC Lupopo ya DRC mwishoni mwa wiki hii.

Yanga hadi sasa imejikusanyia jumla ya pointi 30 ikiwa ni pointi 10 nyuma ya wanaongoza ligi hiyo.

17 comments:

  1. dakika 30

    Yanga 1 Mtibwa 1

    ReplyDelete
  2. sio mbaya magoli yapo jangwani kaza but!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. half time

    Yanga 1 Mtibwa 1

    ReplyDelete
  4. line up:
    1. Obren/Kimathi
    2. Mbuna
    3. Njoroge
    4. Wisdom
    5. Nadir
    6. Bonny
    7. Bengo
    8. Babbi
    9. Tegete
    10. Ambani
    11. Shamte

    ReplyDelete
  5. dk 81

    Yanga imepata bao la pili kupitia kwa Steven Bengo

    ReplyDelete
  6. Asante sana, tunangojea final results, Yanga mbele.

    ReplyDelete
  7. dakika ya 89

    Yanga 3 Mtibwa 1 mfungaji Godfrey Bonny

    ReplyDelete
  8. full time

    Yanga 3 Mtibwa 1

    Ambani dk.15, Bengo dk 81 na Bonny dk 89

    ReplyDelete
  9. kwa ushindi wa leo Yanga imefikisha pointi 36. Simba ambayo inaongoza ina pointi 43 itacheza kesho na Manyema FC.

    ReplyDelete
  10. Poa mwana aminia -SGM

    ReplyDelete
  11. haya jamani tuombe mungu simba achemshe

    ReplyDelete
  12. dah yanga mbele kwa mbele..kesho mnyama anadroo

    ReplyDelete
  13. Katika mechi kati ya Simba na Manyema inayoendelea hivi sasa, Simba inaongoza 2-0. Dakika 73

    ReplyDelete
  14. Mnyama achemshe....unaota kaka]

    ReplyDelete
  15. Full time:

    Simba 2 Manyema 0

    Simba inatakiwa kushinda mechi 3 ili kutwaa ubingwa.

    ReplyDelete
  16. kaka samahani mbona unachelewa kutuletea mpya za yanga naomba uwe fasta kaka Yanga mbele nyuma mwiko

    ReplyDelete