Thursday, February 18, 2010

Yanga vs Kagera Sugar
Baada ya kuwakilisha taifa mwishoni ya mwa wiki, Yanga leo inaumana na Kagera Sugar kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom itakayopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru.

13 comments:

  1. sema kaka cm macho yte ktk msg zako wanasemaje wakata miwa?

    ReplyDelete
  2. naona wakongo wametupoozesha hamna matokeo mpaka hivi sasa

    ReplyDelete
  3. usijali mvua ipo ya magoli

    ReplyDelete
  4. humu hata wakiingia simba na kusema wayatakayo sababu ni kuwa wahusika wanakaa kimya !!!!!

    ReplyDelete
  5. Ngassa dk 57 na Chuji dk 90

    Nsajigwa - red card

    ReplyDelete
  6. shukurani, jamani vipi hiyo website bado tu?

    ReplyDelete
  7. jamani vipi myama kajikwaaa? maana mpaka sasahivi naendelea kutia ubani wa dua mbaya

    ReplyDelete
  8. Simba 4 Moro 1 sijui kama huko ndio kujikwaa.

    ReplyDelete
  9. hakuna wakumzui mnyama mwaka huu.tujipange mwakani maanake lupopo watatufunga jumamosi

    ReplyDelete
  10. kwa kweli timu haikucheza vizur hasa sehemu ya kiungo. Abdi Kassim anatuangasha sana. kwa kweli inabidi abadilike. maana ashirikiani na wenzake katika kukaba. na hata pasi hatoi za uhakika. ila kwa ujumla Mnyama akae chonjo.

    ReplyDelete