Monday, February 22, 2010

Yanga vs Toto Africa

Ligi Kuu ya Vodacom inaendelea tena leo katika uwanja wa Uhuru wakati mabingwa watetezi wa ligi hiyo Yanga watakapowakaribisha Toto Africa ya Mwanza.

Yanga inatarajiwa kupata upinzani mkali kutoka kwa Toto Africa kwani vijana hao wa Mwanza maarufu kama Wana-Kishamapanda wapo katika kampeni nzito ya kuhakikisha wanabaki katika ligi kuu msimu ujao. Katika mchezo wao wa mwisho, timu hiyo iliifunga Majimaji huko Songea 2-1 na hivyo kujiweka vizuri katika kampeni yake.

Yanga nayo leo itautumia mchezo huo kujipima kabla ya kukwea pipa kuelekea Lubumbashi DRC kurudiana na Lupopo FC mwishoni mwa wiki.

Tusubiri dk. 90.

24 comments:

  1. 1.Berko
    2.Mbuna
    3.Maftah
    4.Owino
    5.Nadir
    6. Chuji
    7.Nurdin
    8.Bonny
    9.Ambani
    10.Tegete
    11.Abdi

    ReplyDelete
  2. HT 3-0

    Ambani dk.5 na 45, Tegete dk.21

    ReplyDelete
  3. Leo mambo poa nafasi ya pili lazma.

    ReplyDelete
  4. Aingie Ngassa aongeze mabao mpige bao mgosi ufungaji bora.

    ReplyDelete
  5. Ngassa hatashiriki game ya leo.

    Yanga wamemaliza sub zote tatu:
    Bonny/Shamte
    Abdi/Bengo
    Tegete/Odhiambo

    ReplyDelete
  6. inshaallah iwe mazoezi tosha kwa kuwakabili wacongo nategemea mambo yatakuwa mazuri yakifanywa mashambulizi ya nguvu tutarudi na ushindi si chini ya magoli matatu nawaamini forward wetu

    ReplyDelete
  7. 6-0 Shamte hat-trick dk 77

    ReplyDelete
  8. full time

    Yanga 6 Toto 0

    Yanga sasa imefikisha pointi 42.

    ReplyDelete
  9. hata mngefunga 100 bado nyie zero tu! Mnakumbuka shuka asubuhi? ngoja WaCongo wajilie vitu vyao kiulaini. Nyie zenu kuwabwenga viwete then mnajiona mnajua!!!

    ReplyDelete
  10. Hata mufunge elfu 1000 hazitawasaidia, musubiri tu kichapo kwa Lupopo weekend hii. kazi yenu kuchapa vipofu halafu majisifu kwy magazeti, mpira ni uwanjani sio magazeteni subiri kichapo kwa DRC tu.

    ReplyDelete
  11. huyo mbwa katoka wapi?shut up u dog

    ReplyDelete
  12. hii blog juu kabisa imaandikwa ni ya wapenzi wa yanga pote ulimwenguni sasa huyo bundi anayelia hapo juu katoka wapi asituletee uchuro

    ReplyDelete
  13. mnajiona mmeshinda wapumbavu nyie na timu yenu,nendeni kongo tunawangoja namtafungwa sio chini ya 4 au zadi

    ReplyDelete
  14. hii ni 606 ya Yanga. ukijisikia vibaya kaanzishe blogu yako siyo kuleta matusi hapa. sawa sie wapumbavu sasa wewe kinakuuma nini mpaka ulete pua yako hapa? ukiona wapumbavu wawili na wewe ukajitia katikati yao, sasa tofauti iko wapi? maana matokeo yake utaona wapumbavu watatu!!

    anywa acha watu wafurahie ushindi, bao 6 bila teh teh teh

    ReplyDelete
  15. huyu malaya wa simba anajiingiza hapa wewe umelipa ada ya uanachama au ni mpiga debe stendi ?shut up u dog.

    ReplyDelete
  16. hao wazambia vipi wamekuja?

    ReplyDelete
  17. Yanga 1 ZESCO 1

    Yanga imechezesha wachezaji wengi wa akiba akiwemo Jama Mba, Msigwa, Odhiambo, Njoroge etc

    ReplyDelete
  18. Hata mungechezesha wachezaji gani uwezo wenu mwisho ni kufunga hao TOTO na tutaona huko DRC! tayarisheni tu kapu la kubebea magoli, kwa uchache mutakula 3-0

    ReplyDelete
  19. Mtabaki kutukana tu mpira hamuwezi

    ReplyDelete
  20. Mtabaki kutukana tu mpira hamuwezi

    ReplyDelete