Saturday, September 18, 2010

Ligi Kuu ya Vodacom

Mechi za leo
Yanga vs Majimaji

Toto Africa vs Azam

Mtibwa Sugar vs Kagera Sugar

27 comments:

MUGANYIZI said...

JAMANI LEO YANGA WASITUCHEFUE KAMA JUZI, WAJITAHIDI SIMBA WATAJIDAI SANA HAWALOH, MASEBE HUKO LAELA VIPI, MIE NIKO BUKOBA HAPA

MUGANYIZI said...

YAANI KWA KWELI MIE SIAMINI KILICHOTOKEA KWA MTIBWA. SIMBA HAWA WATASEMA SEMA SANA.CM LEO UWE TAYARI KUTUJUZA. NAOMBA WADAU MNIPE JIBU, KWA NINI HUYO ASAMOAH HAKUCHEZA SIKU ILE ? TATIZO NINI? NI MAJERUHI AU?

Anonymous said...

eti ile mechi na maji maji ni leo ?
matokeo vipi jamaa!!!!!

CM said...

Ni halftime, mambo bado ni 0-0.

Asamoah bado usajili wake haujakamilika.

Anonymous said...

ahsante tujulisheni matokeo maana tupo nje ya tanzania kila la kheri kwa wana yanga wote

MUGANYIZI said...

NASHUKURU CM KWA HIYO ANACHEZA FRIEND MATCH TU LOH~ HIVI YANGA KUTOWAFUNGA HAO MAJIMAJI TATIZO NINI?

Excomta said...

Ndo hivyo kipindi cha pili kinaanza ngoma bado suluhu

Excomta said...

Ernest Boakye ametoka ameingia Godfrey Bonny

Excomta said...

Mwanza mpira ni mapumziko Toto Africa 1 - Azam 0 mfungaji Sammy Kessy.

MASEBE said...

BWANA ALEX UMEPOTELEA WAPI BWANA TUNAKUTAFUTA SANA HUPATIKANI.
TATIZO LA YANGA KWA MWAKA HUU KUSEMA KWELI HATUNA WASHAMBULIAJI KABISA. NI AFADHALI ILIVYOKUWA KWA KINA AMBANI.UMEBADILISHA NAMBA ZA KILONGA LONGA CHAKO?

MASEBE said...

BWANA ALEX UMEPOTELEA WAPI BWANA TUNAKUTAFUTA SANA HUPATIKANI.
TATIZO LA YANGA KWA MWAKA HUU KUSEMA KWELI HATUNA WASHAMBULIAJI KABISA. NI AFADHALI ILIVYOKUWA KWA KINA AMBANI.UMEBADILISHA NAMBA ZA KILONGA LONGA CHAKO?

CM said...

tumepata bao dk ya 67 kupitia kwa Jerry Tegete

Excomta said...

Dakika ya 12 Yanga wanapata bao kuptia kwa Jerrison Tegete.

Excomta said...

Sorry, ilikuwa dk ya 22.

Excomta said...

Dk ya 71 Tegete amekosa bao lingine la wazi.

MUGANYIZI said...

Mzee Masebe Tegete anakosa mabao sana. Kwa sasa napatikana kwa namba 0754 918212, hata hivyo nilienda uganda kwa babu so nilikuwa sipatikani kabisa. Kesho LIverpool na Man Utd Unasemaje?

MUGANYIZI said...

JAMANI SASA YANGA MSHAMBULIAJI NI YUPI? NA HUYU ENOCK BWIGANE SIJUI YEYE TIMU GANI MAANA UTANGAZAJI WAKE UNANIPA UTATA

MUGANYIZI said...

ILITAKIWA TUWE TUMEPIGA MABAO SI CHINI YA NNE

MUGANYIZI said...

dk ya 83 Toto Africa 1 na Azam 0

MUGANYIZI said...

AZAM NAWASHANGAAA, HAWAPISHANI NA CHAMA LANGU LIVERPOOL

MUGANYIZI said...

HUYU OMEGA SEME ATATULETEA BALAAAA,

Excomta said...

FT YANGA 1- MAJIMAJI 0

MASEBE said...

ASANTE BWANA MGANYIZI. AZAM NI KAMA MAN CITY, FEDHA TELE MPIRA 0.KESHO WAKAMATENI MAN U.NGASA ATARUDI MWAKA KESHO HAWEZI KUKAA KWENYE TIMU KIMEO

Anonymous said...

wee pikipiki tunataka doz nene sio mpira wa majigambo ya maneno mwisho ya yote simba bingwa mechi 5 kabla ya kuisha msimu kisa ana magoli ya kufunga ponts tuko sawa , mimi kama mwana kwara sihusudu ushindi kiduchu,amusajili nini? hapendwi mtu hapa bila ya ushindi mdau napoli

Anonymous said...

somo kubwa kwa yanga,simba na azam, vipaji viko hapahapa bongo mnatumia mamilioni ya shillingi kuwatajirisha wachezaji wa nje kwa kuwasajiri wasio na uwezo wwt.timu kama majimaji,ruvu na zingine zina sajiri hapahapa bongo na kuonyesha viwango vikubwa zaidi yenu wenye mapro feki.

Anonymous said...

Uwepo wa wachezaji wa nje ni muhimu kwani wanaongeza ushindani kwenye timu, na kwa siku za mbeleni utaona wachezaji wa nyumbani wanainuka maana wanalazimishwa kujituma mazoezini maana hamna uhakika wa namba.

poker said...

PROMO DELIMA
poker online terpercaya | poker online | Agen Domino | Agen Poker | Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | Judi online terpercaya | bandar qiu | situs judi online

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat. Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: delimapoker
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___