Saturday, March 12, 2011

Yanga 0 JKT Ruvu 0
Yanga leo jioni imelazimishwa sare ya 0-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom iliyopigiwa kwenye uwanja wa Uhuru.

Simba ilikuwa inaongoza 2-0 dhidi ya AFC huko kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha.


4 comments:

Anonymous said...

Bye Bye Yebo Yebo! Jaribuni tena mwakani.

Anonymous said...

lini timu inavunjwa? wale waliokua wanasema timu wataiendesha wako wapi?mafukara sio wa kifedha tuu bali kimawazo ,shame on you all.ohh samahani wengine hamjui kiingereza hamna hata aibu ,kafeni mbele.

Anonymous said...

tumefungwa???????

Anonymous said...

si unajua tena.soka letu nafikiri tunahitaji mchungaji wa loliondo atutibu.