Thursday, April 26, 2007

Yanga 1 Polisi Moro 1

Tumetoka sare na Polisi Morogoro huku wao wakiwa wametangulia kupata bao lililofungwa dk 31 wakati Yanga ilisawazisha katika dk ya 69 kupitia kwa Amir Maftah.

MSIMAMO Wa KUNDI A
....................P ..W. D. L .GF. GA ...PTS
Polisi Moro...... 3... 2 ..1 .0..4 ....1.... 7
Yanga........... 3... 1... 2...0 .6... 1... 5
AFC.............. 3.... 1.. 0.. 2.. 3...7.... 3
Moro Utd........ 3.... 0.. 1. 2. 1... 5..... 1

Mzunguko wa kwanza umekamilika. Tusubiri huenda tuka-restore order katika mzunguko wa pili.

1 comment:

saklde said...

Kweli nafurahi sana kuskia ndugu yako mambo yako siku hz si mchezo,ukiskia kona kali ilipigwa na Amir Maftah,goli limefungwa na Amir Maftah,aah aminia babake,nakumislde salde salde,niko Canada