Wednesday, April 25, 2007

Leo uso kwa uso na Polisi Moro

Mabingwa watetezi wa Ligi ya Tanzania Bara, Yanga leo inakumbana na Polisi ya Morogoro katika mchezo wa Kundi A Ligi ndogo ya TFF utakaopigwa kwenye Uwanja wa Shiekh Amri Abeid Jijini Arusha.

Polisi Moro inaongoza Kundi A kwa kujikusanyia pointi 6 wakati Yanga ina pointi 4.

Kila la heri Yanga.

No comments: