Wednesday, May 30, 2007

Uchaguzi mwema

Leo ni siku ya uchaguzi wa viongozi wa klabu ya Yanga utakaofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia saa 2 asubuhi.

Mengi yamezungumzwa (kampeni) kuhusu wagombea sasa ni juu ya wanachama wa klabu hiyo kutumia busara na kuchagua yule ambaye anaonekana anafaa kuiongoza Yanga katika kipindi hiki ambacho klabu inatakiwa ifanye mageuzi makubwa kiuchumi.

Tunawatakia wagombea na wapiga kura wote uchaguzi mwema na wa amani.

Yanga Imara, Daima mbele.


2 comments:

Anonymous said...

Sure,

Kila la kheri wanachama wa Yanga mnaotuchagulia Viongozi wa Yanga Mpya.

Mungu Ibariki Yanga, Mungu libariki soka la Tanzania.

Anonymous said...

Matokeo
1. mwenyekiti - imani madega
2. makamu mwenyekiti - rashidi ngozoma matunda
3. katibu mkuu - lucas kisasa
4. katibu mkuu msaidizi - ahmed mamba
5. mhazini - abeid mohamed abeid
6. mhazini msaidizi - godfrey mwenje
7. katibu mipango - patrick fataa
8. katibu mwenezi - francis lucas