Saturday, May 26, 2007

Uchaguzi Yanga waahirishwa

Uchaguzi mkuu wa Yanga uliokuwa ufanyike leo kwenye Ukumbi wa Karimjee, umeahirishwa mpaka tarehe 30 mwezi huu baada ya kujitokeza dosari katika idadi ya wanachama.

Weekend njema jamani!

No comments: