Wednesday, May 16, 2007


Yanga kurudiana na El Merreikh Jumamosi

Wakati huo huo, pambano la marudiano ya Kombe la Shirikisho kati ya Yanga na El Merreikh litafanyika Jumaomosi usiku huko Khartoum, Sudan.


Pambano hilo litakalochezeshwa na waamuzi kutoka Burundi, linatarajiwa kuanza saa 3 usiku kwa saa za hapa nyumbani Tanzania.


Manji atoa basi


Picha courtesy of Daily News

Wakati huo huo, mfadhili wa Klabu ya Yanga Yusuf Manji ametoa basi kwa ajili ya matumizi ya Klabu hiyo.

Basi hilo aina ya Hino, litakuwa kwa ajili ya matumizi ya wachezaji wa Yanga.

No comments: