Saturday, June 02, 2007

JK kuongoza Watanzania leo
Kwa niaba ya Wanablog wote tunawatakia kila la heri timu yetu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars katika pambano lake dhidi ya Senegal - Simba wa Teranga.

Ni juu ya Watanzania wote wakiongozwa na Mhe. Jakaya Kikwete kuishangilia kwa nguvu ili kuwapa wachezaji wetu 'mguu wa tatu' katika kuwafunga Senegal.

Taifa Stars OYEEEEE!!!!!!!


No comments: