Monday, June 25, 2007

Yanga 3 Mtibwa Sugar 2

Wafungaji
Thomas Mourice (23, 27 pen) >>>>>>>>>>>>Abdallah Juma (37)
Mrisho Ngassa(87)>>>>>>>>>>>>>>>>>>.....Salum Swedi (90)

Mniwie radhi ndugu wadau kwa kutoweza kutoa matokeo mapema kwa sababu mara nyingi baada ya mchezo ninakuwa mbali na mtandao.

Hata hivyo ndugu wadau hii ni blog yenu kwa hiyo mwenye uwezo wa kutuma matokeo mapema anaweza kufanya hivyo katika comments.

Shukrani kwa comments zenu mbalimbali ndugu wadau.

No comments: