Tuesday, September 18, 2007

Ratiba yetu ya mzunguko wa kwanza


Ratiba ya mechi za Yanga katika mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom inayotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki hii. (H - Home) na (A - Away)

22/9: Ashanti United H
26/9: Coastal Union A
30/9: Polisi Dodoma H
3/10: Polisi Moro A
6/10: Kagera Sugar H
11/10: Toto Africa H
14/10: Mtibwa Sugar A
17/10: Moro Utd H
20/10: Pan Africa A
24/10: Simba H
28/10: JKT Ruvu A
31/10: Prisons A
4/11: Manyema H

4 comments:

Anonymous said...

hivi wadau wa Yanga mna habari juu ya gogoro kubwa linalotukabili kuhusu uhusiano kati ya Klabu ya Yanga na Kampuni ya Yanga. Taarifa nilizonazo ni kuwa juzi kamati ya utedaji wamekaa na kuamua kwa kura (9 ndio,3 hapana) kwamba kamwe timu isitolewe kwenye mamlaka ya klabu na kupelekwa kwenye kampuni.viongozi wanafunika funika ukweli huu,lakini je hatima yake ni nini?

Anonymous said...

Bila shaka yote yatajulikana katika mkutano mkuu wa wanachama utakaofanyika mwezi ujao. Tuvute subira tuone ukweli wa mambo.

Anonymous said...

Mh.. well, kufunika mambo hakutasaidia. Nadhani haya mambo yawekwe hadharani wadau wajue ukweli. Nakumbuka ilikubaliwa kuwa timu 'ihudumiwe' na Kampuni, kabla hata ya uchaguzi. Kwa hiyo kubadili maamuzi ya wamachama bila ridhaa yao sii uungwana.

Huenda Viongozi (wa klabu) wana sababu genuine kabisa za kutotaka kutoa timu kwa kampuni. Lakini wasipoziweka wazi, ni kweli wanalea time-bomb ambao litalipuka tuu huko mbele.

Kila la kheri yanga. Tumechoka migogoro. Mambo yawekwe sawa, tufurahie mpira... basi...

Anonymous said...

Makocha wapya wataanza lini kazi?