Monday, September 24, 2007


SI mchezo!!
Ligi ya Vodacom kwa msimu huu inaonekana si ya kitoto kwani vilabu vikubwa tayai vimeonja vipigo mapema kabisa.
Kipigo cha bao 1-0 ilichopata Yanga kutoka kwa Ashanti United huenda kikaizindua Yanga kutoka kwenye usingizi ambao kwa kiasi fulani pia kimechangiwa na sifa kubwa wanazopewa wachezaji wa timu hiyo na vyombo vya habari.
Wakati wa kuzinduka ndiyo sasa na tuanze dhidi ya Coastal Union huko Tanga keshokutwa Jumatano.
Kila la heri Yanga.

No comments: