Tuesday, October 30, 2007

Msimamo wa ligi

Ligi Kuu ya Vodacom baada ya michezo ya raundi ya 11 iliyokamilika jana.



P W D L F A GD PTS
1 PRISONS 11 7 3 1 19 9 10 24
2 MTIBWA SUGAR 11 5 3 3 10 8 2 18
3 KAGERA SUGAR 11 4 5 2 11 9 2 17
4 POLISI MORO 11 4 4 3 9 6 3 16
5 TOTO AFRICA 11 4 4 3 10 10 0 16
6 YANGA 11 4 3 4 7 5 2 15
7 JKT RUVU
11 3 5 3 9
8
1 14
8 SIMBA
11 3 5 3 9 8 1 14
9 MORO UNITED 11 2 7 2 4 6
-2
13
10 ASHANTI UNITED 11 2 6 3 5 9
-3 12
11 PAN AFRICA 11 2 5 4 10
12 -2 11
12 POLISI DODOMA 11 1 7 3 11 14 -3 10
13 COASTAL UNION 11 2 3 6 4 10 -6 9
14 MANYEMA 11 0 8 3 4 8 -4 8

Taratibu tu, tutafika.

3 comments:

Anonymous said...

Salaam wote!
Nawaomba wana-Yanga wote tuwe makini sana na huu mwenendo wetu, kadiri ninavyowafahamu Prisons na sisi kuwa na kipa mmoja tu wa uhakika inaweza kutugharimu sana!huyu kipa kutokufungwa Arusha isiwe ndo dira, hawa jamaa wakiwa sawa kesho kwenye hii "potato pitch" yao na wakatushambulia kwa nguvu kama kawaida yao naanza kupata wasiwasi kidogo!tumalize matatizo yetu na huyo Ivo hata kama mechi ya kesho tumeamua kuitoa sadaka,playing against the leading goal scorers in the league with one goalkeeper is like playing with a needle which has been used to inject a HIV patient!
Inshaalah, mwenyezi Mungu atatujaalia kesho!

Anonymous said...

Nawahimiza washambuliaji wa Yanga muongeze juhudi!!Top goal scorer wetu Mourice Sunguti anachuana na Saidi Kokoo mwenye magoli mawili(yote ya kujifunga!)??jitahidini bwana!!

Anonymous said...

Hao jamaa kufunguwa wana deserve maana kwa kitendo kile walichokifanya siku ya game na simba kwa kweli mimi binafsi walinitoka kabsaaa, tena nafikiri hiyo adhabu haitoshi its better tukawatimua kimoja waende huko kwa wapinzani wetu simba.