Monday, October 08, 2007

Msimamo wa ligi


Msimamo wa ligi kuu ya Vodacom baada ya mechi za mwishoni mwa wiki:



P W D L F A GD PTS
1 PRISONS 5 5 0 0 12 4 8 15
2 POLISI MORO 5 3 2 0 4 0 4 11
3 KAGERA SUGAR 5 2 2 1 4 1 3 8
4 ASHANTI UNITED 5 2 1 2 3 3 0 7
5 COASTAL UNION 5 2 1 2 4 5 -1 7
6 MTIBWA SUGAR 5 2 1 2 4 5 -1 7
7 SIMBA 5 1 3 1 4 3 1 6
8 TOTO AFRICA 5 1 3 1 3 3 0 6
9 YANGA 5 2 0 3 3 3 0 6
10 JKT RUVU 5 1 2 2 6 6 0 5
11 MORO UNITED 5 1 2 2 2 3 -1 5
12 POLISI DODOMA 5 1 2 2 5 7 -2 5
13 MANYEMA 5 0 3 2 2 5 -3 3
14 PAN AFRICA 5 0 2 3 4 9 -5 2

4 comments:

Anonymous said...

Wadau,

Hizi habari kwamba Mfadhili wetu (Manji) amejiondoa ni za kweli?

Kama ni za kweli, nini kinafuata?, maana hapa tumekuwa tukiongolea kuifanya klab ijitegemee, bila dalili za kufanyika chochote.

Anonymous said...

Kwanza naomba kwenye hii table Yanga iandikwe kwa rangi zake (njano au kijani).

CM said...

Tayari nimebadili rangi.

Anonymous said...

Yaaani mpaka inatia raha kuangalia. Tujitahidi tufike juu