Wednesday, December 05, 2007

Kombe la Shirikisho Afrika:
Yanga yavuka hadi Raundi ya kwanzaShirikisho la soka Afrika CAF jana lilitoa ratiba ya michuano yake kwa upande wa vilabu ambapo Yanga imeingizwa moja kwa moja katika hatua ya raundi ya kwanza kufuatia soka la Tanzania kupanda katika miaka ya hivi karibuni.

Yanga imepangiwa kucheza na mshindi wa mchezo wa raundi ya awali ya michuano hiyo kati ya AL AKHDAR ya Libya na Mwakilishi kutoka nchi ya Chad.

Katika mchezo huo wa raundi ya kwanza utakaofanyika kati ya tarehe 21,22 au 23 ya mwezi wa Machi mwakani, Yanga itaanzia nyumbani.

Haya sasa Waarabu wengine haoooo wanakuja.

1 comment:

poker said...

PROMO DELIMA
poker online terpercaya | poker online | Agen Domino | Agen Poker | Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | Judi online terpercaya | bandar qiu | situs judi online

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat. Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: delimapoker
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___