Duru la pili Vodacom Premier League
Duru la pili la ligi kuu ya Vodacom linatarajiwa kuanza Jumamosi ijayo tarehe 26.01.2008. Ifuatayo ni michezo ya Yanga kwa duru la pili.
26 Januari 2008
Ashanti United (Dar)
01.02.2008
Coastal Union (Dar)
08.02.2008
Polisi Dodoma (Dar)
11.02.2008
Polisi Moro (Dar)
21.02.2008
Kagera Sugar (Kagera)
24.02.2008
Toto Africans (Mwanza)
28.02.2008
Mtibwa Sugar (Dar)
08.03.2008
Moro United (Moro)
15.03.2008
Pan Africans (Dar)
16.04.2008
JKT Ruvu (Dar)
19.04.2008
Prisons (Dar)
23.04.2008
Manyema (Dar)
27.04.2008
Simba (Dar)
Ashanti United (Dar)
01.02.2008
Coastal Union (Dar)
08.02.2008
Polisi Dodoma (Dar)
11.02.2008
Polisi Moro (Dar)
21.02.2008
Kagera Sugar (Kagera)
24.02.2008
Toto Africans (Mwanza)
28.02.2008
Mtibwa Sugar (Dar)
08.03.2008
Moro United (Moro)
15.03.2008
Pan Africans (Dar)
16.04.2008
JKT Ruvu (Dar)
19.04.2008
Prisons (Dar)
23.04.2008
Manyema (Dar)
27.04.2008
Simba (Dar)
9 comments:
Kwa maandalizi ya timu kwa sasa, sioni sababu ya kutopata ubingwa by 23.04.2008
Wadau mnaonaje?
Nadhani timu yetu ni nzuri na kwa maandalizi haya tunapaswa kuwa mabingwa. Hawa makocha wetu wanachonga sana, hasa huyo Kondic. Uchongaji huu unafanya wachezaji wasiwe na motisha hivyo wamwambie aache longolongo afundishe timu.
Viongozi komaeni msikubali kupelekeshwa na kocha.
Baba Kelvin Temboni.
Tunaongoza 1-0 mfungaji Abuu Ramadhan
Ni 1-1 sasa
Mpira sasa ni mapumziko, bado 1-1.
Vipi mpira umeishaje? Na kiwango je? Timu inacheza ki-timu?
Mpira umekwisha. Yanga imeshinda 2-1. Bao la pili lilifungwa na Jerry Tegete. Mpira wa leo ulikuwa mgumu, timu haikucheza vizuri japokuwa tumeshinda.
Tumeshinda kibahati.Kusema timu haikucheza vizuri ni kuficha ukweli.Timu imecheza ovyo sana heri hata mzunguko wa kwanza.Tuna kazi kubwa sana huko mbele.Ili tufanye marekebisho lazima tudiriki kusema kweli.
Vizuri kwamba tumeshinda. Mechi za kwanza always huwa ni ngumu. Wacha tuone mechi mbili zijazo ndo tuone kama ni ubovu wa wachezaji ama benchi la ufundi.
Bado naamini timu ni nzuri na itafanya vizuri mechi zijazo.
Kuna kukamiana na kujuana kwa hizi tmu za dar, na hivyo kubadilisha psychology ya mchezo.
Post a Comment