Sunday, May 04, 2008

Mwalala anena



soma mahojiano aliyofanya na Gazeti la Habari Leo HAPA

3 comments:

Anonymous said...

Nakubaliana na Mwalala kuhusu baadhi ya hoja zake hasa kuhusu mambo ya ushirikiana na kukosekana kwa uongozi madhubuti. Kweli hilo ni pingamizi kubwa la maendeleo kwa klabu zetu.

Sikubaliani naye kuhusu kuonewa na kutopangwa. Ni ukweli kuwa Mwalala aliyesaliwa toka SC Villa sio huyu wa sasa. Kiwango kimepungua. Nilitegemea kwa vile yeye ni mchezaji wa kulipwa, walau angekiri kuwa naye ana kazi ya kupandisha kiwango; sio kulalama tu kuw anaonewa. Wote tunajua kuwa Kabanda aliumia ndio maana hakuwa akicheza. Case yake ni tofauti na ya Mwalala.

Labda tuu tumtakie mafanikio huko aendako. Mwakani tutaka wachezji wapya na vijana.

Anonymous said...

tunayo timu b sio kwanini tusiwapandishe a?,mimi naumia ninapo sikia simba wanasema yanga hakuna mchezaji.jee wanayanga hii ni ukweli.?

Anonymous said...

Ametoa maoni mazuri lakini ilikuwa ni vema akiri kuwa mwenendo wake klabuni unamfanya Kocha asimpe nafasi anayoidai. Ni msumbufu, anadeka akinyang'nywa mpira hakabi na badala yake anainama kama ameumia, hii inakera. Tabia hii ya kuguswa kidogo na kulala kama umeumia (kama Drogba) wanayo pia Abubakar Mtiro na Waziri Mahadhi. Wote hawa hawastahili kuendelea kuwepo Yanga.