Saturday, June 28, 2008

"Cannavaro" adaiwa jezi na TFF!!!!!
Pamoja na timu ya Taifa ya Tanzania kuwa na wadhamini wakubwa - Serengeti, NMB na Mohamed Enterprises, bado TFF inaendelea kuwawekea ngumu wachezaji wake pale inapobainika wamebadilishana jezi hizo na timu pinzani mara baada ya mchezo kumalizika.

Hebu fuatilia habari hii hapa.

Sasa je, jezi ya mchezaji ikichanika uwanjani wataipeleka kwa fundi kuweka kiraka?

2 comments:

Anonymous said...

Mlioko Bongo, vipi vijana wameanza mataarisho ya kagame cup? na vipi nimesikia Yanga wamempata Mbaga huyu ndo nani tena?

Anonymous said...

Bloger,
Vipi mbona habari mpya hamna au hakuna maendeleo yeyote?