Tuesday, July 22, 2008

KAGAME CUP

Mechi za leo (22 Julai 2008)

ROBO FAINALI

URA vs Miembeni ... 2-0

Simba vs APR .....2-0 (Obina 81', Mgosi 88')

7 comments:

Anonymous said...

CM kwa mujibu wa Msemaji wa TFF Kaijage washindi wa leo yaani Simba na URA watakutana alhamisi na washindi wa kesho watakutana kwenye semifainali ya pili Ijunaa.Je kuna ukweli wowote wa habari zake hizi???

Anonymous said...

Mimi pia nimesoma kwenye habarileo.Kaijage pia amesema mechi za robo fainali zikiisha kwa sare itamumika sheria ya penalti tao tano.Dakika 30 zitaanza kuongezwa kuanzia nusu fainali kwa mujibu wa Kaijjage.

Anonymous said...

aah Simba ni noma babu yaani hii ndoo mwaka huu ya kwetu hafu tunampiga na yanga fainali kunogesha ubingwa

Anonymous said...

WATANI WAO NI KUCHEZA NA MAGAZETI NDO ZAO ,UWANJANI WEUPE TUNAWASUBILI TUWAPE DOZI YAO ,MNYAMA NI CHUO CHA MAFUNZO AKITOKA MTU KINAKUJA KIFAA ,MGONGO WAZI KAENI KAMKAO CHENU CHA KUCHINJWA MNYAMA ANAKUJA NA SPEED 120

Anonymous said...

wapuuzi watupu

Anonymous said...

kweli mnyama hana akili,sisi wote tunajua hilo.

poker said...

PROMO DELIMA
poker online terpercaya | poker online | Agen Domino | Agen Poker | Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | Judi online terpercaya | bandar qiu | situs judi online

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat. Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: delimapoker
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___