KAGAME CUP
ROBO FAINALI
URA vs Miembeni 2-0
Mabingwa wa soka wa Zanzibar - Miembeni wameaga mashindano ya Kagame Cup kwa kutunguliwa mabao 2-0 na URA katika mchezo wa robo fainali uliomalizika hivi punde.
Simba vs APR (

10 comments:
Waheshimiwa watani zetu vipi? mpaka sasa watatoka kweli? EBU TUPENI MATOKEO.
HADI SASA NI KAMA DAKIKA 48 ZIMEONDOKA, BADO NI 0-0.
TUNASHHUKURU MHESHIMIWA BASI UENDELEA KUTUPA MAMBO YANAVYO KWENDA HUKO, TUNATAKA KOMBE LIBAKI HILO HAPO NYUMBANI.
Simba wamepata bao katika dakika ya 81 kupitia kwa Mnigeria Orgi Obina.
Ni 1-0
Simba wamepata bao la pili katika dakika ya 88 kupitia kwa Mussa Hassan "Mgosi"
Mpira umekwisha kwa ushindi wa 2-0 kwa Simba.
Shukrani cm kwa kutupa hizi latest!
kesho endelea kutupa latest za Yanga.
Tukipita salama huenda tukakutana na Simba, na hiyo itakuwa mechi ya mwaka!!!
mpenzi wa yanga, berks, uk.
Nakushukuru cm.
Ingawa mie ni mpenzi wa Simba, ninashukuru kwa kufanya updates za mechi za simba. Thanks a lot.
Simba fan. Columbus, OH.
hongera mnyama,yanga mkae kamkao chetu cha kuchinjwa ,msichomoe kesho pls tunawasubili
hongera mnyama,yanga mkae kamkao chetu cha kuchinjwa ,msichomoe kesho pls tunawasubili
Post a Comment