Saturday, July 26, 2008

KAGAME CUP

3rd/4th Winner Playoff
1345hrs; Simba vs Yanga
FINAL
1600hrs: URA vs Tusker

9 comments:

Anonymous said...

Mpira wa Tanzania hautakuwa ni mpaka hapo imani potofu zitakapopotea, yaani hufanyi mazoezi wachezaji hawana stamina unataka ushindi? Nakumbuka hata mshindano yalipokuwa yanaanza Kodic alisema wazi hategemei maajabu kwa sababu ndo wameanza mazoezi timu ni changa wachezaji hawajaelewana kimchezo. Hii ilikuwa pure scientic comments, wameingia mashindanoni baada ya mazoezi ya wiki moja hivi kweli unategema ufanye nioni hata kama umesajili akina Ronadhilno Gaucha na Kaka, sijui kama viongozi wa Yanga walikuwa wanalitaka hili kombe au nguvu zao wameweka kwe champion leadue?

Anonymous said...

Kichekesho kila timu inajificha yaani utafikiri wendawazimu, ohh I love Bongoland

Anonymous said...

We muhuni unayemiliki haka kamtandao, kesho ukitundikwa na mnyama pia usiweke matokeo. Sema tu ni matatizo ya kiufundi. Huna maana kabisa pimbi we!

Anonymous said...

Kesho lazima mnyama amfanye vibaya kandambili. Tunajua matokeo hayatabandikwa kwenye blogi hii maana chizi mwenye nayo ni mnazi wa njano/kibichi na mbumbumbu wa kuendesha blogi.

Anonymous said...

Sasa kama yeye ni mbumbu nyinyi ni akina nai? sitashangaa kama si wasenge kutoka Zanzibar maana huko ndo uhanithi wote uko

Anonymous said...

Si fungueni ya kwenu kwani kawakataza? msenge ni msenge tu

Anonymous said...

Jamani soka si ni mchezo wa burudani na amani? Matusi na maneno makali yote ya nini?

Mwenye blog alijitambulisha kuwa ni mpenzi wa Yanga, na wala hajazuia wapenzi wa timu zingine kuja hapa. Sasa kama mtu hapendi anayoona au kusikia hapa, kwani amelazimishwa ku-comment hapa? Si aanzishe naye blog yake yenye mambo anayopenda tuu?

Kuweni wastaarabu, tutaniane ktk mambo ya soka, lakini matusi si uungwana.

Anonymous said...

TUPE MAMBO YANAVYO KWENDA HAPO UWANJANI.VILEVILE WADAU MSISAHAU MJADALA WA KUCHANGIA TIMU KWA AJILI YA UKARABATI WA UWANJA WA KAUNDA BAADA YA MECHI HIZO KWISHA HII LEO.

Anonymous said...

imekuwaje tena Taifa nasikia vijana wameingia mitini why? kwanini?