Monday, August 25, 2008

Pole Cannavaro
Beki mahiri wa Yanga na timu ya Taifa Nadir Haroub "Cannavaro" amepatwa na pigo kubwa baada ya kufiwa na mchumba wake akiwa katika harakati za kujifungua hapo jana usiku.

Cannavaro amekumbwa na balaa hilo saa chache baada ya kuiwakilisha Yanga katika mchezo wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Prisons ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa 4-0 jana jioni.

Blogu hii inampa pole Nadir Haroub kwa matatizo yaliyompata. Bwana ametoa, na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe.

4 comments:

Anonymous said...

polesana ndugu nadir.mungu ailaze roho ya marehemu peponi. mweyezi mungu atakusaidia ,yoteyata endavizuri.

Anonymous said...

Natoa pole nyingi kwa mchezaji wetu mahiri Nadir Haroub Ally Cannavaro, na pia kwa Club nzima ya Yanga.

Anonymous said...

BASILIUS NAMKAMBE

GOD GAVE GOD HAS TAKEN PRAISED BE HIS NAME.

I HOPE IT IS AN UNTIMELY EVENT TO YOU AND YOUR TEAM MATES.

MAY GOD GRANT YOU STRENGHT TO WITHSTAND THE HARD TIMES.

Anonymous said...

POLE SANA KIJANA MUGU ATAKUWA NAWE KAMA NASI TULIVO NAWE