Saturday, September 13, 2008

Ligi Kuu ya Vodacom

Mechi za leo 13.09.2008
Mtibwa Sugar vs Yanga............... 0-1
Prisons vs Simba...........................1-0
Azam FC vs Polisi Moro................0-0

7 comments:

Anonymous said...

ligi inaanza kunawiri tunaanza kupishana pointi uzi ule ule msirudi nyuma daima mbele

Anonymous said...

Haswaa ...

Msimu huu nadhani utaisha kama hivi:
1. Yanga
2. Kagera Sugar
3. Prisons
4. ....

Hahaaa, kazi ipo!

Anonymous said...

Ha! Ha! Ha! Kwa kuchonga tu hamjambo. Muda ukifika msiweke mpira kwapani tena.

Anonymous said...

wewe uliyepita nadhani hutufai kwenye Alumn hii.
kwanza nipongeze vijana kwa outstanding perfomance and trhehundred percent winning streach.

sasa mkubwa unayewasilisha habari humu kwenye Blog yetu unashindwa hata kutupa angalau mpoira ulichezwaje, pia naomba basi ujitahidi kuweka angalau picha ya mchezaji aliyefunga au kung'ara ktika mchezo.

ila hii ni changamoto tu najua ndiyo tunaanza tutabadilika muda unavozidi kwenda.

naomba nikufahamu ili tuone jinsi y kuiboresha na kuwafahamisha wanayanga wengi ili wawe wanaitembelea mara kwa mara.
SANTE,
YANGA HOYEEEEE
NI MIMI YANGA WA KULIA

Anonymous said...

Hongera Yanga.
vipi ule mkutano ulifanyika j'mosi?

Anonymous said...

ulifanyika tena kwa utulivu a hali ya juu mdau

sasa mbona hatuko current??

Anonymous said...

ulifanyika tena kwa utulivu a hali ya juu mdau

sasa mbona hatuko current??