wewe uliyepita nadhani hutufai kwenye Alumn hii. kwanza nipongeze vijana kwa outstanding perfomance and trhehundred percent winning streach.
sasa mkubwa unayewasilisha habari humu kwenye Blog yetu unashindwa hata kutupa angalau mpoira ulichezwaje, pia naomba basi ujitahidi kuweka angalau picha ya mchezaji aliyefunga au kung'ara ktika mchezo.
ila hii ni changamoto tu najua ndiyo tunaanza tutabadilika muda unavozidi kwenda.
naomba nikufahamu ili tuone jinsi y kuiboresha na kuwafahamisha wanayanga wengi ili wawe wanaitembelea mara kwa mara. SANTE, YANGA HOYEEEEE NI MIMI YANGA WA KULIA
7 comments:
ligi inaanza kunawiri tunaanza kupishana pointi uzi ule ule msirudi nyuma daima mbele
Haswaa ...
Msimu huu nadhani utaisha kama hivi:
1. Yanga
2. Kagera Sugar
3. Prisons
4. ....
Hahaaa, kazi ipo!
Ha! Ha! Ha! Kwa kuchonga tu hamjambo. Muda ukifika msiweke mpira kwapani tena.
wewe uliyepita nadhani hutufai kwenye Alumn hii.
kwanza nipongeze vijana kwa outstanding perfomance and trhehundred percent winning streach.
sasa mkubwa unayewasilisha habari humu kwenye Blog yetu unashindwa hata kutupa angalau mpoira ulichezwaje, pia naomba basi ujitahidi kuweka angalau picha ya mchezaji aliyefunga au kung'ara ktika mchezo.
ila hii ni changamoto tu najua ndiyo tunaanza tutabadilika muda unavozidi kwenda.
naomba nikufahamu ili tuone jinsi y kuiboresha na kuwafahamisha wanayanga wengi ili wawe wanaitembelea mara kwa mara.
SANTE,
YANGA HOYEEEEE
NI MIMI YANGA WA KULIA
Hongera Yanga.
vipi ule mkutano ulifanyika j'mosi?
ulifanyika tena kwa utulivu a hali ya juu mdau
sasa mbona hatuko current??
ulifanyika tena kwa utulivu a hali ya juu mdau
sasa mbona hatuko current??
Post a Comment