Monday, September 01, 2008

Yanga yakwama CAS

Rufaa iliyokatwa na mabingwa watetezi wa soka Tanzania Bara, Yanga katika Mahakama ya Usuluhishi wa Mambo ya Michezo, CAS, kupinga adhabu waliyopewa na Baraza la Soka la Afrika Mashariki na Kati, CECAFA, ya kutoshiriki mashindano ya ukanda huo kwa muda wa miaka mitatu pamoja na kulipa faini ya Dola za Marekani 35,000 imegonga mwamba.

Kwa habari zaidi gonga hapa.

No comments: