Thursday, October 02, 2008

Maximo achota 9 Yanga

Kocha Mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Marcio Maximo ametangaza kikosi cha wachezaji 27 watakaoingia kambini tayari kuiva Cape Verde wiki ijayo huku Yanga ikitoa wachezaji 9.


Kikosi kamili ni kama ifuatavyo:

Makipa

Ivo Mapunda (Yanga), Farouk Ramadhan (Miembeni), Shaban Dihile (JKT Ruvu) na Deo Mushi (Simba).


Walinzi

Shadrack Nsajigwa (Yanga), Nurdin Bakari (Yanga), Amir Maftah (Yanga), Nadir Haroub (Yanga), Juma Jabu (Simba), Kelvin Yondani (Simba), Meshack Abel (Simba), Ahmed Mohamed(U17) na Salum Swed(Mtibwa Sugar)


Viungo

Athuman Idd (Yanga), Godfrey Bonny (Yanga), Kigi Makassy (Yanga), Jabir Aziz (Simba), Henry Joseph (Simba), Haruna Moshi (Simba), Nizar Khalfan (Moro Utd) na Shaban Nditi Mtibwa Sugar)


Washambuliaji

Jerry Tegete (Yanga), Mrisho Ngasa (Yanga), Musa Hassan 'Mgosi' (Simba), Moses Godwin (Simba), Uhuru Suleiman (Mtibwa Sugar) na Hamid Mao (U 17).

1 comment:

poker said...

PROMO DELIMA
poker online terpercaya | poker online | Agen Domino | Agen Poker | Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | Judi online terpercaya | bandar qiu | situs judi online

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat. Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: delimapoker
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___