Sunday, October 19, 2008

Msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom


7 comments:

Anonymous said...

mimi naona kwa mpira huu yanga 5- simba 0.

Anonymous said...

Mimi nawatahadharisha Yanga, wasiwe over confident. Wajiandae vizuri maana surprise inaweza kutokea.

punda alinyimwa pembe akapewa masikio said...

Yanga wekeni profile za wachezaji kwenye website kama vile google, kuna muda huwa tunachoka kufanya kazi halafu tunajikuta hatuna kitu cha kusoma kutoka klabu zetu za nyumbani mfano tunahitaji kujua majina na tarehe za kuzaliwa, magoli waliyoifungia Yanga, idadi ya mechi walizocheza nk. HALAFU WADAU NISAIDIENI, UBINGWA WA MWAKA 2003 nani alichukua ni Simba au Yanga, maana kwa mujibu wa google Yanga haijabeba ubingwa kati ya 2000-2005

Anonymous said...

willie hapo juu,
2003/04 yanga ndo ilikuwa bingwa.

Anonymous said...

Mimi ni huu msimamo wako,kwa mujibu wa huu msimamo JKT Ruvu inaonekana ni team pekee iliyocheza mechi 8,nafikiri umekosea team zote mpk mida hii tunaposubiri mtanange wa J2 team zote zimecheza mechi 9

CM said...

Msimamo huu niliutoa baada ya mechi ya Jumapili kumalizika.

Hata hivyo kosa pekee ambalo nimeliona ni kuweka idadi ya mechi kwa timu ya Mtibwa Sugar. (Nimeandika 9 badala ya 8).

Mechi ya Mtibwa Sugar na JKT Ruvu ilichezwa hapo Jumanne na timu hiyo ya Manungu iliondoka na ushindi wa 3-1. Kwa matokeo hayo Mtibwa haijapanda wala JKT Ruvu haijashuka .

Anonymous said...

MBONA HAKUNA MATOKEO YA MECHI YA YANGA bs POLISI DOM?