Vijana waandaliwe vizuri kifizikia na kisaikolojia. Mechi dhidi ya simba haina tofauti na ya Prison, Mtibwa ama Kagera Sugar. Kwa hiyo, wachezaji wasitiwe woga usio na sababu, uwezo wa kuifunga Simba 5-0 msimu huu upo. Maandalizi tuu muhimu.
nimesoma habari mbali mbali kwenye vyombo vya habari,lakini nafikiri hakuna siri kwenye klabu,kila kitu kinawekwa hadharani kweli tutamshinda adui?kwanini wanaandika kila kitu?
Pengine tuichukulie mechi hii na simba kama mechi yeyote ile. Letu kuu liwe pointi tatu. Isije ikawa lengo ni kumfunga simba potelea mbali wachezaji hata wakivunjika miguu. Hapana.Acha wao wakamie, sie twende kuwinda pointi tatu. sio kuwind wanyama. Tule na kipofu.
Yanga mungu atusaidie tuendelee kufurahi kwani huu uchawi wa mzirai unanitisha huyo jama kuna mawili kaenda kuhujumu simba ili Yanga ishinde au kaenda kuvujisha siri za Yanga, tukutane hapa kesho jioni tujadili matokeo YANGA IMARA= YANGA DAIMA
8 comments:
5-0 tuu.
Pamoja na kwamba tuna timu nzuri nina wasiwasi na kukutana na Simba aliyejeruhiwa na kuchekwa sana.
Kikubwa kwa Yanga ni kutojiona kwamba tayari wameshinda.
Kutokuwa over confident!
Vijana waandaliwe vizuri kifizikia na kisaikolojia. Mechi dhidi ya simba haina tofauti na ya Prison, Mtibwa ama Kagera Sugar. Kwa hiyo, wachezaji wasitiwe woga usio na sababu, uwezo wa kuifunga Simba 5-0 msimu huu upo. Maandalizi tuu muhimu.
Kila la kheri,
MWAKA HUU NI WETU HAO SIMBA MPAKA TUWAFUNGE 7-0 KWASABABU UWEZO TUNAO,NIA TUNAYO NA SABABU TUNAYO KAMA ALIVYOSEMA NYERERE KWA IDD AMIN DADA
nimesoma habari mbali mbali kwenye vyombo vya habari,lakini nafikiri hakuna siri kwenye klabu,kila kitu kinawekwa hadharani kweli tutamshinda adui?kwanini wanaandika kila kitu?
Pengine tuichukulie mechi hii na simba kama mechi yeyote ile. Letu kuu liwe pointi tatu. Isije ikawa lengo ni kumfunga simba potelea mbali wachezaji hata wakivunjika miguu. Hapana.Acha wao wakamie, sie twende kuwinda pointi tatu. sio kuwind wanyama. Tule na kipofu.
waungwana kipa anatakiwa awe mzungu, hilo ni muhimu
Yanga mungu atusaidie tuendelee kufurahi kwani huu uchawi wa mzirai unanitisha huyo jama kuna mawili kaenda kuhujumu simba ili Yanga ishinde au kaenda kuvujisha siri za Yanga, tukutane hapa kesho jioni tujadili matokeo
YANGA IMARA= YANGA DAIMA
Post a Comment