Tuesday, October 21, 2008

Kuelekea Oktoba 26, mnasemaje?

8 comments:

Anonymous said...

5-0 tuu.

Anonymous said...

Pamoja na kwamba tuna timu nzuri nina wasiwasi na kukutana na Simba aliyejeruhiwa na kuchekwa sana.

Kikubwa kwa Yanga ni kutojiona kwamba tayari wameshinda.

Anonymous said...

Kutokuwa over confident!

Vijana waandaliwe vizuri kifizikia na kisaikolojia. Mechi dhidi ya simba haina tofauti na ya Prison, Mtibwa ama Kagera Sugar. Kwa hiyo, wachezaji wasitiwe woga usio na sababu, uwezo wa kuifunga Simba 5-0 msimu huu upo. Maandalizi tuu muhimu.

Kila la kheri,

Anonymous said...

MWAKA HUU NI WETU HAO SIMBA MPAKA TUWAFUNGE 7-0 KWASABABU UWEZO TUNAO,NIA TUNAYO NA SABABU TUNAYO KAMA ALIVYOSEMA NYERERE KWA IDD AMIN DADA

Anonymous said...

nimesoma habari mbali mbali kwenye vyombo vya habari,lakini nafikiri hakuna siri kwenye klabu,kila kitu kinawekwa hadharani kweli tutamshinda adui?kwanini wanaandika kila kitu?

John Mwaipopo said...

Pengine tuichukulie mechi hii na simba kama mechi yeyote ile. Letu kuu liwe pointi tatu. Isije ikawa lengo ni kumfunga simba potelea mbali wachezaji hata wakivunjika miguu. Hapana.Acha wao wakamie, sie twende kuwinda pointi tatu. sio kuwind wanyama. Tule na kipofu.

Anonymous said...

waungwana kipa anatakiwa awe mzungu, hilo ni muhimu

Anonymous said...

Yanga mungu atusaidie tuendelee kufurahi kwani huu uchawi wa mzirai unanitisha huyo jama kuna mawili kaenda kuhujumu simba ili Yanga ishinde au kaenda kuvujisha siri za Yanga, tukutane hapa kesho jioni tujadili matokeo
YANGA IMARA= YANGA DAIMA