Saturday, October 11, 2008

TAIFA STARS SPECIAL
Kila la heri Stars

Timu ya soka ya taifa ya Tanzania - Taifa Stars, leo inaingia katika uwanja mkuu wa Taifa kukamilisha ratiba ya michuano ya kutafuta nafasi ya kufuzu kwa kombe la Dunia na la Mataifa ya Afika kwa kupambana na Cape Verde.

Stars leo itahitaji kulinda heshima tu ya nchi na pia kutafuta ushindi wa kwanza katika uwanja huo mpya katika mechi za mashindano. Ushindi pekee ambao Stars imeupata katika uwanja huo ni katika mechi ya kirafiki dhidi ya Uganda mwezi Agosti mwaka jana.

Mungu ibariki Tanzania.

10 comments:

CM said...

1-0 Athuman Iddi (6')

CM said...

2-0 Jerry Tegete (26')

CM said...

2-1 Soares (35')

CM said...

Halftime Tanzania 2 Cape Verde 1

Anonymous said...

Asante sana kwa kutupatia habari...Only if JK Boys wageshinda michezo za awali...ahhh

CM said...

3-1 Mrisho Ngassa (73')

Anonymous said...

Yanga 3 Cape Verde 1

Anonymous said...

milele tutaishia uyanga na usimba kama mtazamo ndo huu wa yanga 3 cape verde 1.

Anonymous said...

usimba umeuleta wewe humu ndani. Humu ni uyanga tu daima.

Anonymous said...

Mpashe huyo kwani hajui humu ni kwa nani.Wanakuja kufuata nini humu hajui kwa kwenda, umbea tu ndio unawaleta hapa.YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.Hatumtaki mnyama humu anataka nini. Hatuna urafiki na MNYAMA.Ila nawakumbusha jamani kuwa Pro.Kondik ni kocha,hebu angalia Nurudin Bakari kiwango chake sasahivi,wakati anamsajili tulifikiri kuwa hana uwezo sasa kila mtu anaona uwezo wake hata kupewa majukumu mazito ya timu ya taifa.HEKO PRO.Yanga 3 sijui nani hao 1.HABARI NDIYO HII