Saturday, November 29, 2008

Taifa Stars vs Sudan

3-1 Full time

8 comments:

CM said...

Mabao ya Stars yamefungwa na Jerry Tegete, Athumani Iddi na Kiggi Makassy.

Anonymous said...

uzi huo huo baada ya wiki mbili mungu ibariki stars

Anonymous said...

Kila la heri Stars!!!

Anonymous said...

Tusisahau kumshukuru Ambani kwa kuchukua muda wake mwingi mazoezini kuwafundisha Jerry na Kiggi jinsi ya kufunga magoli. YANGA OYEE..

Anonymous said...

Wow, hongera Taifa STars ..

Anonymous said...

Vipi jamani mna kuna mtu ana habari yeyote kuhusu Manji? maana uvumi unatisha ingawaje binafsi najua ni majungu ya watani wetu, afikishwe yeye mahakamani aachwe Lowasa, Apson, na Mkapa?

Anonymous said...

MAGOLI YOTE NI YANGA IDDI, MAKASI, TEGETE

Anonymous said...

Al Ahly wanakuja tutaona tambo zenu na timu ya milioni 500.