Wednesday, December 10, 2008

Mahadhi ajiengua kufundisha vijanaWaziri Mahadhi "Mendieta"

MCHEZAJI wa zamani wa Yanga, Waziri Mahadhi ameamua kuachana na kazi ya kuifundisha timu ya vijana ya klabu yake kutokana na kutolipwa posho wala mishahara.

Kwa habari zaidi cheki hapa.

No comments: