Thursday, January 01, 2009

Heri ya mwaka mpya 2009Ninawatakia wasomaji wote wa blog hii heri ya mwaka mpya wa 2009.


Awali ya yote nawashukuru sana kwa ushirikiano wenu katika mwaka uliopita nami naahidi tutaendelea kushirikiana katika kupashana yale yanayojiri kuhusu klabu yetu ya Yanga na timu yetu ya taifa pale inapobidi.


Kila la heri kwa wote.

TUWASILIANE KUPITIA yangatz@yahoo.com