Sunday, February 15, 2009

CAF Champions League

Kishindo cha kingine Comoro

Habari nilizozipata hivi punde kutoka Comoro ni kwamba Yanga imeibuka na ushindi mnono wa 6-0 katika mchezo wa marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Etolie d'Or Mirontsy ya huko.

Kwa ushindi huo, Yanga imesonga mbele kwa jumla ya mabao 14-1.

100 comments:

CM said...

wafungaji:
Mrisho Ngassa (3)
Nadir Haroub
Vincent Barnabas
Boniface Ambani

Anonymous said...

Tunashukuru kwa habari hii nzuri,kazi sasa ni kwa waarabu hadi kieleweke.YANGA OYEEE.Tunaomba utwekee line up ilikuwaje na magoli yalifungwa dakika za ngapi.Asante sana

Anonymous said...

INAWEZEKANA KABISA KUWATOA WAARABU,BUT HAWA JAMAA WANAKUWAGA NA FITNA SANA LA KISOKA KWA HIYO NI LAZIMA TIMU IAANDALIWE KIKAMILIFU PSYCOLOGICALLY KWA SABABU WAARABU WANA MBINU NYINGI.NI VIZURI TIMU INGEENDA KUWEKA KAMBI LIBYA FOR WHATVER DAYS THEY WILL GET AND THEN SIKU YA GAME NDO WAENDE EGYPT MOJA KWA MOJA UWANJANI,HAKUNA KULALA KWENYE HOTELS ZAO HAKUNA KULA VYAKULA VYAO WALA KUNYWA MAJI YAO.HAPO TUTAKUWA TUMEKWEPA FITNA NA HILA ZA WAARABU.TUKITOA DRAW KWAO OR WAKITUFUNGA 1-0,2-1 THEN TUNA UHAKIKA WA KUSONGA MBELE.
MUNGU IBARIKI DAR YOUNG AFRICAN.
MDAU-CALIFORNIA

Anonymous said...

waharabu mwaka huu lazima tuwanyoe bila maji na salamu wamezipata. Ubingwa wa Africa ni wetu na hapo ndipo watajua ni kwa nini tunaitwa Young African.

Anonymous said...

hawa wacomorow wamekuwa kama sisi miaka ile tulipokuwa tukicheza na hawa ahlali,yalikuwa wakitubamiza,kwahio wacomoro wana safari ndefu kufikia hapa tulipofikia sisi leo,na hii ndio kuonyesha kuwa sasa tumekomaa,na waarabu wasitarajie zile ndoto za miaka ya nyuma,ila wachezaji wawe na uchu wa kuwafanyia hawa waarabu,kwani kila tukicheza vizuri na kuwafunga hawa wajamaa ndio soka la abroad kwa wachezaji wetu linakuwa karibu zaidi,tutauza wachezaji wengi sana tusiwe na papara,pia waarabu walikuwa wakituchezea faulo ambapo mara zotetulikuwa tunaanza dar,na kumaliza kwao, muda ule ofisi za caf ilikuwa wao ndio wanaoongoza, hii ni nafasi yetu ya kuwachanachana waharabu,na mdau hapo kaongea poa,kambi iwe libya au tunisia,zaidi tunisia kwani wale esperence na klabu za kule ni maadui wa ahlali,watatupa data zote na mbinu za kuwafanyia hawa jamaa,

Anonymous said...

hawa wacomorow wamekuwa kama sisi miaka ile tulipokuwa tukicheza na hawa ahlali,yalikuwa wakitubamiza,kwahio wacomoro wana safari ndefu kufikia hapa tulipofikia sisi leo,na hii ndio kuonyesha kuwa sasa tumekomaa,na waarabu wasitarajie zile ndoto za miaka ya nyuma,ila wachezaji wawe na uchu wa kuwafanyia hawa waarabu,kwani kila tukicheza vizuri na kuwafunga hawa wajamaa ndio soka la abroad kwa wachezaji wetu linakuwa karibu zaidi,tutauza wachezaji wengi sana tusiwe na papara,pia waarabu walikuwa wakituchezea faulo ambapo mara zotetulikuwa tunaanza dar,na kumaliza kwao, muda ule ofisi za caf ilikuwa wao ndio wanaoongoza, hii ni nafasi yetu ya kuwachanachana waharabu,na mdau hapo kaongea poa,kambi iwe libya au tunisia,zaidi tunisia kwani wale esperence na klabu za kule ni maadui wa ahlali,watatupa data zote na mbinu za kuwafanyia hawa jamaa,

Anonymous said...

Muda wa kambo ya muda mrefu haupo. Halafu nyie watu mnapenda tu kusema kambi iwe libya au tunisia hizo hela za kuweka kambi nje zipo? Jamani chukueni kadi na tumeni michango yenu ili timu iweze kufanya mambo. Mambo ya kufungua domo na Manji amwage hela yanaweza kututokea puani.

Unknown said...

Hongera wa-Yanga. Huku Ujerumani tunafuatilia kwa makini maendeleo ya Club yetu huko nyumbani. Kwa huku tumefurahi na tunashukuru wachezaji, wanachama (na viongozi), wapenzi na mashabiki wote wa Yanga.
Sasa tunahitaji ku-focus zaidi on Waarabu. Ni wazoefu na makao makuu ya CAF yako kwao pale. Hivyo, tukijitahidi uwanjani tutaondoa nongwa. Wanachama tushikamane ili Yanga iende mbele zaidi.
Madega, Kissasa, Fata na Quality Group tujitahidi kuifanya Club ya kisasa zaidi. Tutafute Clubs rafiki huku Ulaya na Uarabuni kwa miradi na kuuziana wachezaji.
Website ya Club bado haijaanza, vipi? Itasaidia kutangaza Club.
Blogger tuwasiliane ku-keep update blog kwa breaking sports news. Yanga Imara, Daima Mbele!
Geoff I. Mwambe
Mwanachama wa Yanga
Card No. 000661
E-mail: geoffrey.mwambe@gmail.com
Mannheim, Germany

Anonymous said...

Timu ilikuwaje?

Anonymous said...

Kwanza hongera nyingi kwa wachezaji, benchi la ufundi, viongozi na wapenzi wote kwa ushindi huu. Hii iwe changamoto kufanya vizuri mechi ijayo. Ingawa kipimo hiki sii sawa na kile kijacho, lakini timu imeonesha ikikutana na kibonde inaweza kushinda magoli yoyote inayotaka. Kumbukeni T-Stars ilifungwa na kibonde Somalia majuzi.

Pili, Ule mpango wa kuingiza wanachama milioni 5 nchi nzima uliishia wapi? Bila kuwahusisha wanachama na wapenzi maendeleo hayawezi kuja kwa kutegemea mfadhili mmoja au wawili. Kumbuka, kama Yanga ingekuwa na wanachama milioni 5 (na inawezekana kwa kuwa wapo wapenzi wengi zaidi ya 5 m) na wanaweza kutoa ada ya sh. 100 (mia tuu) kwa mwaka, klabu ingekusanya 500M, na kwa kuwa hawa wanachama wangekuwa active (kwa kuwa wametoa mchango hata kama ni mdogo), huu ungekuwa mtaji kwa klabu kupata mikataba ya udhamini na kuimarisha mapato.

Tatu: Suala la website ya klabu linatia aibu jamani. Tujitolee basi japo sisi tulio kwenye blogu, tutengeneze tovuti ya klabu na tuiendeshe kwa mwaka mmoja tukiwashirikisha viongozi, huku watu wa ofisi wa publicity secretary wakijifunza namna ya kui-maintain.

Naamini kuna watu hapa wenye utaalamu wa ku-design website yenye hadhi ya Yanga. Hosting, mimi naweza kutoa ofa ya kuilipia kwa mwaka wa kwanza, au mtu mwingine yeyote. Kazi kubwa inayobaki ni maintenance ambayo tunaweza kuifanya kwa ku-volunteer. Jamani kumbukeni wazee wetu kina Mzee Tabu Mangara na wengine waliweza kujenga jengo la klabu kwa ku-mobilize wanachama na wapenzi, sasa kwa nini sisi tusiifanyie kitu klabu yetu bila kui-cost klabu gharama kubwa?

Kina Azam, Mtibwa na wengine wana tovuti nzuri tuu, je sisi si ndo tulitakiwa kuongoza njia?

Naomba kuwasilisha hoja:

Anonymous said...

Kwanza nikupongeze ndugu Mwambe kwa kuweka kadi yako hapa pia nategemea ni mwanachama hai. Huo mpango wa kadi million 5 ni Manji ambaye alipendekeza na kwa udhoefu kwake wa biashara anashangaa ni kivipi yanga bado inategemea wafadhiri kwa shughuli zake za kila siku hata pesa za kuandaa timu tunategemea wafadhiri ila ningependa hii issue isiibuliwe sasa kwa maana tunajijua wenyewe mgogoro unaweza kufumuka na timu ikaanza kufanya vibaya tena. Baada ya kuchukua ubingwa lazima tukae chini tuambiane ukweli na mambo yote kama kama website lazima yatekelezwe. Kama kuna mtu ana simu ya mwenyekiti tunaomba atuwekee hapa ili tuweze kumshauri mambo ya kufanya kwa maana najua anaweza akawa hatembelei hapa.

Anonymous said...

Mawazo mazuri hasa kwa upande wa website pamoja na wanachama, sisi tuko huku mikoani wengi mno na fedha tunazo za kuichangia klabu yetu lakini hawa jamaa sijui wanafanya nini.Mimi pia naomba namba za hawa viongozi ziwekwe hapa ilituweze kuwasiliana nao lakini baada ya hii mechi na waarabu.

Anonymous said...

hongera wana yanga michango ya mawazo mbali mbali ya maendeleo ya club yetu, hii itapelekea kupata mawazo mengi ya maana kutoka kwa wadau mbali mbali wa yanga popote walipo kwa lengo la kuiendeleza club yetu, lakini tu nahisi viongozi wenyewe hayawafiki haya maoni yetu hapa ambayo ni moja ya maendeleo, hapo naungana na mdau wetu juu anaesema number za viongozi tuwekewe hapo,ili tuwe tuna na mawasiliano nao,sisi huku wengine tunazo nafasi hata za kuimbea yanga friendly games hapa europer,lakini ni mpaka viongozi nao wawe na lengo hilo la kuja nje abroad,kwani litpelekea kuitangaza club yetu abroad,na kuuza wachezaji wengi,na kupata kipato cha nguvu klabuni,lakini kabla ya yote haya inabidi kama mdau anavyoongea ni lazima tuwe na website ambapo tukizifata clubs hapa abroad atleast waone sisi ni akina nani,na tunafanya nini,

thanks-belgium

John Mwaipopo said...

Winga nyota Mrisho Ngassa jana aling`ara wakati alipopachika mabao manne wakati Yanga ilipoibuka na ushindi wa 6-0 dhidi ya Etoile d\'Or Mirontsy ya Comorro katika mchezo wa marudiano wa mtoano wa Ligi ya Mabingwa wa Afrika.

Kwa matokeo hayo sasa, Yanga imeweza kusonga mbele kwa jumla ya mabao 14-1 baada ya kuibuka na ushindi wa 8-1 katika mchezo wa kwanza uliochezwa wiki mbili zilizopita jijini, Dar es Salaam.

Yanga sasa itavaana na Al-Ahly ya Misri katika raundi ya kwanza ya mashindano hayo itakayochezwa mwezi Machi.

Mchezo ulichezwa katika uwanja wa Said Mohamed Cheikh ulioko mjini hapa, ambapo hakuna mawasiliano ya aina yoyote ya simu na uko kilomita 40 kutoka mji mkuu wa Comoro, Moroni.

Hata hivyo, Etoile ililazimika kutumia uwanja huo wenye nyasi bandia kutokana na kutokea katika kisiwa cha Anjoun, ambako hakuna uwanja wenye hadhi ya kimataifa.

Ngassa alikuwa `mwiba` wa Wacomoro, ambapo mara nyingi alikuwa akiwachachafya kwa chenga na mbio zake.

Aliweza kufunga mabao yake yote katika kipindi cha kwanza na baadae kutolewa na Kocha Dusan Kondic wakati kipindi cha pili kilipoanza.

Ngassa alizamisha bao lake katika dakika ya tatu wakati alipoweza kuuganisha mpira wa kona uliochongwa na Amir Maftah na kuongeza bao la pili mnano dakika ya 33 baada ya kuunganisha krosi ya Fred Mbuna.

Bao la mechi lilikuwa lile la tatu katika dakika ya 39, wakati alipoweza kuwalamba chenga mabeki wa Etoile kuanzia katikati ya uwanja na kuweza kuzamisha mpira wavuni.

Goli hili linaweza kufananishwa na lile la nyota wa zamani wa Argentina, Diego Maradona alilofunga dhidi ya England wakati wa fainali za Kombe la Dunia mwaka 1986 nchini Mexico wakati alipowapiga chenga mabeki wanne wa England kujaza mpira wavuni na timui yake kupata ushindi wa 2-1.

Ngassa alifunga mahesabu yake katika dakika ya 41 wakati alipounganisha krosi ya mshambuliaji Mkenya Boniface Ambani.

Vincent Barnabas aliifungia Yanga bao la tano katika dakika ya 77 wakati Ambani alimalizia bao la sita katika dakika ya 88 baada ya kuwahi mpira wa uliotemwa na kipa.
**********************************

Imetoka Nipashe. Nimeona ile post ya kwanza inautata juu ya nani kafunga magoli mangapi.

Anonymous said...

Hongera Yanga.

Anonymous said...

Kwa wale waliokuwa wanaomba namba ya simu ya mmoja wa viongozi wa Yanga, sasa mnaweza kuwasiliana na Katibu Mwenezi wa Yanga - Francis Lucas kupitia +255 787 619988

Kazi kwenu.

Nalitolela, P. S. said...

Wangazidja si wangekubali tu game 1 basi, aibu iishe. Lakini no sweat, acha kina Ngasa wajizolee magoli; wanaweza pata ufungaji bora.

Naungana na mdau aliyesema tusilale Misri, fitna za mafurauni sio wa kuwaamini kabisa hawa.

Anonymous said...

Tunashukuru kwa namba hizo za Bwana Lukas hasa kwa kuwa yeye ndiye katibu mwenezi tutamuuliza kuhusu website.

Unknown said...

Ndugu wana-Yanga wenzangu, ningependa kumshukuru aliyetoa namba ya Mwenezi wetu Francis Lucas. Na kwa wale watakaompata Lucas, wamwambie pia kuwa awe anatembelea Blog hii kama mwanzo wakujenga uhusiano wa karibu kati ya wadau na viongozi. Pia, tumwombe awe anatuma kwa Blog hii taarifa zozote rasmi za Club wakati website yetuu inajengwa.
Nawashukuru wadau kwa kuunga mkono kujengwa kwa website ya Club na hasa mdau wa Belgium ku-pledge mchango wa kulipia hosting yake.
Nawakumbusha tu kuwa Club ilishapata domain ya website ambayo ni www.yanga.or.tz na general e-mail ni info@yanga.or.tz. Pia, simu mojawapo muhimu ya viongozi ni +255 732 20 37 57. Pia wadau mnaweza kuwatumia e-mail kupitia address ya info ingawa website haijaanza bado. Hata hivyo, nina wazo domain ya (...or.tz) wigo wake ni TZ zaidi. Nje haipewi kipaumbele kwenye networks. Pia, kussema tu yanga.or.tz haitoshi. Iwe www.yangafc.com.

Mwanachama wa Yanga (Hai)
Geoff I. Mwambe
Card No. 000661
Mannheim
Germany

Anonymous said...

ahasante kwa habari za website, lakini ningependekeza tutumie domain ya www.yangafc.com au hata www.daryoungafricansfc.com au hata www.youngafricans.com ambazo zinamvuto zaidi. Pia kama tunavyojiita Dar Young africans basi ni vizuri zaidi tukatumia hili jina la kiingereza ili tuweze kuwazima waafrika wengine kwani ipo siku wanaweza kuanzisha timu na ikajakuwa maarufu na bora zaidi kushinda yetu then ndio ukaa mwisho wetu kwani waafrika wengi hawajui maana ya Yanga.

Anonymous said...

Jina la timu ambalo linajulikana na TFF, CAF, na FIFA kwa sasa ni Young Africans. Siyo Dar Young Aficans au Young Africans FC. Halafu hiyo .com watu wengi wanatumia bila kujua maana yake kwa club kama yetu inatakiwa iitwe hivyo hivyo .or.tz. Mimi binafsi sioni ubaya wowote wa kuuita yanga.or.tz kwani hiyo ni aka name kama vile manutd.com. Lakini hiyo haizuii watu kununua domains nyingine na kui-direct kwenye hiyo website ya club yote poa tu.

Anonymous said...

Maoni mazuri waheshimiwa, sijui kama kuna mtu anaweka kumbukumbu, na kama ni lini tutasema tumepata maoni ya kutosha kuanza kuyafanyia kazi.

Binafsi sioni ubaya ya domain name kama 'youngafricans.co.tz' na 'yangasc.com' kama alias. La kwanza lenye tld ya '.co.tz' ni muhimu kuonesha identity ya nchi. Pia ni vizuri kuwa '.co.tz' na '.com' respectively, kwa sababu lengo hasa ni baadaye kuifanya Yanga ijiendeshe ki-biashara na sio kama charity organization (.or.tz).

Shukrani,

Anonymous said...

Jamani haya ndiyo mawazo ya kujenga,sisi wengine tuko tayari kuchangia walau kitu kidogo katika maendeleo ya Yanga, kwa hiyo mchakato wa website uanze na tupeane taarifa mara kwa mara nina hakika tutafanikiwa tu. YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.

Anonymous said...

Mimi nina wazo. Tunaweza tukaanzisha website ya wapenzi kwanza wakati tunasubiri official website. hii nimeiona kwa wenzetu Asante Kotoko ya Ghana. Tunaweza kufanya hivyo mimi nitajitolea kamera na malipo ya mpiga picha ambaye atakuwa anatupa mapicha motomoto. haya jamani shime tusiuzime moto huu.

Anonymous said...

Wazo la mdau hapo juu la kuanza na website ya wapenzi nadhani ni zuri, ila nadhani tunaweza kuua ndege wawili kwa jiwe moja kama tutatengeneza website moja ya klabu na kuwa na sehemu ya wapenzi kuchangia mawazo, habari na picha. Kwanza hii itafanya site iwe active kwa vile kila mtu atapitia hapo, lakini pili tukiacha uongozi utengeneze official website nadhani tunaweza kusubiri hadi 2050 !

Tutengeneze site ambayo tutaitoa bure kuwa mali ya klabu na official changes zote zitafanywa na viongozi au watu watakaopangwa na viongozi, lakini ile sehemu ya wapenzi itakuwa huru kuwa kila mpenzi bila kuwa controlled na viongozi.

By the way, tayari sehemu ya wapenzi tayari tunayo hapa kwa Mzee CM!

Wengine mnaonaje? naona tumeanza tayari ku-design site.

NB: Pendekezo: Kwa vile naona kuna unanimous vote ya hili wazo la tovuti ya klabu/wapenzi au vyote, ningependekeza waliotayari kutoa michango ya mawazo na utaalamu watoe email zao kwa Bw. CM, ili mjadala wa process ya matengenezo ifanyike offline, maana si mnajua hapa wanapita watu wengi! Hii pia itasaidia kufanya kazi iende kwa ufanisi maana kufanya decisions na idadi ya watu wasiojulikana ni ngumu. Ningependekeza watu wa kujitolea wapatao 5 - 10 hivi. Nimempendekeza CM kwa sababu ndio wote 'tunamfahamu'.

Jordan,

Unknown said...

Ni mawazo mazuri wana-Yanga na tusiachie hapo. Sasa summary ya mapendekezo ni kama ifuatavyo:
1. Domain ya web ya Club:
1.1 www.yanga.or.tz
1.2 www.yangafc.com
1.3 www.yangasc.com
1.4 www.youngafricans.com
1.5 www. yangafc.co.tz
1.6 www.daryoungafricans.com
2. Website ipi ijengwe:
2.1 Ya wapenzi kwanza
2.2 Ya Club na kuwe na link ya wapenzi na wadau wote kujadili maendeleo ya Club
3. Mikakati:
3.1 Mdau wa Belgium ameahidi kuanzisha ujenzi wa website na kuilipia hosting kwa mwaka 1
3.2 Mdau mwingine kaahidi kamera na malipo ya mpiga picha
3.3 Wadau waliojadili kwa ujumla wako tayari kuchangia website ianze
3.4 Baada ya kuianzisha, Official Website hiyo ikabidhiwe Club na wadau waendelee kuifanya iwe active
3.5 Wadau hapa wanaombwa watume e-mails zao kwa Mzee CM ili coordination ianze kufanyika kufanikisha lengo
4. Nini kifuate:
4.1 Tupendekeze Coordinator atakayeshirikiana na Mzee CM kuwaunganisha wadau wote
4.2 Kuwasiliana na uongozi ili kuwapa taarifa ya malengo yetu na kupata mapendekezo yao
4.3 Kutoa taarifa kwa wadau maoni ya Uongozi
4.4 Kuweka mkakati wa kuchangia na kutimiza ahadi zetu
4.5 Kumteua mdau atakayeijenga
4.6 Wadau kujadili draft ya layout ya website (yaani iweje na kuiboresha) tukiletewa na aliyeijenga
4.7 Kukubalianza siku ya kui-launch. Na launching iwe pale Ukumbi wa Habari/MAELEZO ili kuitangaza sana mwanzoni
Hii inaweza kuwa dira yetu kuhakikisha tunatengeneza website yenye hadhi kabla mwaka haujaisha. Ninyi wadau mtakuwa kwenye kumbu kumbu za Yanga na kwenye website muwepo kuwapa changamoto wadau wengine.
Geoff I. Mwambe
Mwanachama wa Yanga
Card No. 000661
E-mail: geoffrey.mwambe@gmail.com
Mannheim, Germany

Anonymous said...

Mwanachama G. Mwambe:

Shukrani nyingi kwa ku-summarize mjadala huu.

Ili tuweze kuanza kufanyia kazi mapenedekezo yaliyokwisha kukusanywa, nimefungua yahoo group kwa ajili ya mawasiliano wakati wa kutengeneza hii tovuti.

Group name ni: http://sports.groups.yahoo.com/group/yangasc/

Kama uko commited kuchangia ujuzi wa ku-design and create a content rich web site and graphics, mawazo, kukusanya contents (kama mdau aliyejitolea picha, na mambo mengine, tafadhali jiunge na na hii task force group kwa kutuma email kwenda: yangasc-subscribe@yahoogroups.com

Ni vema kama ukijitambulisha na kueleza kwa ufupi uko tayari kujitolea ktk lipi.

Wakiishapatikana watu wa kutosha, watachaguana nani aongoze nini na mgawanyo wa kazi.

Lengo la hilo group ni kuwa na watu walio commited kujitolea kwa hali, mali na muda. Mawasiliano yote kwa wadau na progress yataendelea kutolewa hapa 9kwenye blog yetu ya wadau wa Yanga).

Naomba kutoa hoja.

Jordan, J.M.
Mpenzi wa Yanga (sio mwanachama bado),
DC, USA

Anonymous said...

Nyie kama mnataka kuanzisha website anzisheni ya wapenzi wa yanga. Official website tuwaaachie viongozi.

Anonymous said...

Kiongozi hata wewe unaweza kuwa na mawazo yanayojenga huanzia kwa wanachama na mashabiki tukishaanza siasa za kila kitu wafanye viongozi hatutaenda kokote, kwani kama kuanzisha wangeshaanzisha siku nyingi, wadau tusonge mbele hawa wanaotaka kuturudisha nyuma nafasi yao haipo waende Simba wakaungane na kina kanjanja wenzao sio Yanga kwa wasomi na watu wenye Vision i.e maono.
Ni hayo tu,
Nawasilisha,
mdau na mwanachama mtarajiwa nikirudi bongo breki ya kwanza Jangwani na Twiga nikarambe kadi yangu kabisa

Anonymous said...

Wanayanga nawapongeza kwa moyo huo,huyu anaye taka viongozi wafanye kazi hii nafikiri bado hajatambua kwamba yeye ni nani katika Yanga.Yanga ni yetu siyo ya viongozi tuwe na vision siyo kuangalia hapa tulipo leo. Naomba tuendeleze nguvu hii.HONGERENI KWA MOYO HUO, TUKO PAMOJA.

Anonymous said...

anetaka viongozi aende simba yanga kunamaendeleo bwana yanga hoyeeeeeeee

Anonymous said...

yanga inatisha bwana

Anonymous said...

Vijana,
Mawazo mazuri saana, nafikiri huu ni mwanzo mzuri tutafika, nafikiri kabla ya kuanza mjadala mwingine tusubiri kwanza tuone maendeleo ya ujenzi wa website then ndo tuanze mjadala ni vipi Yanga inaweza kuongeza kipato na kujiendesha

Unknown said...

Natambua sasa mwenzetu huyo ameshaelewa uongozi ni ku-coordinate wenzako na si wewe kufanya kila kitu. Wapo wanachama wa Yanga (hata Simba) ambao wanawasajili wachezaji au kujitolea kuwalipa package yote ya usajili na mshahara. Hivyo, wadau wala hatukosei kuanzisha juhudi hizi.
Ningewaomba basi wenzangu tujiorodheshe kwa mmoja wetu ili coordination ianze. Najua wote tuna kiu ya kuona tunafanya tunalokusudia ila tuchelewa itapunguza morali yetu. Tujadili kuhusu ni nani atoe e-mail yake tuojiorodheshe na short profiles zetu then tukubaliane hatua zijazo. Nawapongeza wote kwa spirit iliyo juu hivi. Yanga Daima Mbele, Nyuma Mwiko.
Geoff I. Mwambe
Mwanachama Yanga
Card No. 000661
Mannheim, Germany
E-mail: geoffrey.mwambe@gmail.com

Anonymous said...

bwana geoffrey,
nafuu umesema kuwa simba kuna wanachama wamesajiri wachezaji na hilo ndilo tatizo kubwa ambalo limeikumba timu ya simba mwaka huu pamoja na kuwa na timu nzuri. Kila mchezaji anamsikiliza mtu aliyemsajili na kumlipa huwezi ukajenga timu kama hiyo hata siku moja.
Haya mambo ya kujiorodhesha kimakundi hatuchelewi kuwaaambia watu wajiorodheshe kuuondoa uongozi madarakani. Hili ndilo lilikuwa linarudhisha nyuma maendeleo ya klabu yetu miaka nenda rudi. Kwa hiyo hilo kundi litaitwa Yanga-matandao siyo? Siyo vibaya kuisaidia klabu ila michango yote ipitie kwa viongozi kama kuteua watu watakayoshughulikia website basi uongozi ndiyo ufanye hivyo na kama viongozi wakishindwa kufanya mambo ambayo tunayataka basi ukifika wakati wa uchaguzi tunawachagua viongozi wengine na kuwapa majukumu au mambo ambayo sisi tunataka wayatekeleze. Huo ndiyo ustaarabu na ndiyo utaratibu utakayolete maandeleo klabuni.
Unajua kitu kimoja ambacho nampenda Manji, anajitahidi sana asiingilia uongozi hata hela anazotoa zinapitia kwa viongozi tofauti na ufadhili wa marehemu gulamali ambaye alikuwa anawapa wachezaji hela na hilo liliteta matatizo makubwa sana.
Manaweza kunipiga ila mimi binafsi sikubaliani na mawazo yenu ya kizamani. Nashangaa sana bwana geoffrey eti umesema tuwaige simba!!!!!!!

Anonymous said...

Mdau hapo juu, hakuna aliyeongelea kuunda kundi la mtandao ama nini hapa! Kundi lililopo ni moja tuu, la Yanga. Na by the way, watu wanachoongelea hapa ni kujitolea kufanya kazi ambayo wanadhani ni ya muhimu, na ikiishakamilika hiyo tovuti itakuwa mali ya Yanga chini ya uongozi ulipo madarakani. Sidhani kama kuna mtu mwenye haja ya kutaka uongozi, sifa au manufaa yoyote ya binafsi hapa.

Sasa hebu tuchukulie ushauri wako kuwa tuwaambie viongozi, wachague watu wa kutengeneza tovuti ya klabu (as if they didn't know), hebu tueleze itai-cost klabu kiasi gani hadi ikamilike? Na kama hilo lingekuwa suala rahisi kama unavodhani, kwanini hakuna tovuti ya klabu hadi leo?

Kujitolea kwa wadau kufanya jambo jema kwa klabu wanayoipenda sio jambo geni; kuna ambao huwa wanafyeka majani ili wachezaji wapate mahali pa kufanyia mazoezi (bika kwenda kuwaeleza viongozi kwanza: sababu wanajua ni jambo jema kufanya), kuna waliojitolea kubeba zege wakati jengo linajengwa jangwani na mambo mengine tuu. Tatizo la kudhani viongozi ndio wanatakiwa kufanya kila kitu ndio linadumaza maendeleo sio ya vilabu kama Yanga bali hata nchi zetu za kiafrika.

Kwaheri!

Unknown said...

Kwanza,wadau poleni na kuondokewa na Mwenezi wa Yanga Francis Lucas (ambaye mdau mmoja alitupa namba yake ya simu).Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya Francis Lucas.
Pili, nakutoa wasiwasi mwenzetu hapo juu kuhusu mkakati wetu wa kujenga website ya Club.Kama umefuatilia vizuri mjadala sisi tuna lengo moja tu-Yanga,Daima Mbele!Hayo unayosema tulishayaangalia.Hebu soma summary ya mapendekezo yetu hapo juu (from Geoffrey Idelphonce Mwambe of February 19, 2009 1:49:00AM) kipengele namba 4 cha Nini kifuate (the Way Forward).Kipengele kidogo cha 4.2 kinasema "Kuwasiliana na uongozi ili kuwapa taarifa ya malengo yetu na kupata mapendekezo yao" na namba 4.3 kinasema "Kutoa taarifa kwa wadau maoni ya Uongozi" and then namba 4.4 ni "Kuweka mkakati wa kuchangia na kutimiza ahadi zetu". Hivyo, mdau mwenzetu wala usiwe na shaka,tunafuata taratibu za kiuongozi na kisomi.Yanga inaongozwa na wasomi na wadau wake wengi ni waelewa sana ukilinganisha na Clubs zingine za TZ.Naomba tushirikiane na tutimize lengo letu.Kama mdau wa mwisho alivyosema,kila mdau anachangia awezavyo.Kumbuka Manji alichapisha form na kadi na akatoa mamilioni ku-recruit members wapya nchi nzima lakini process imekwama.Sasa tukiacha hayo yote yafanywe na viongozi hatutafika popote.Ligi ya ndani, Afrika na Kaunda Stadium,jengo na kutafuta vyanzo vya mapato ni kazi kubwa sana kwa viongozi.Hivyo,naamini tukiwezesha la website will be a big push.Tumesema tutawashirikisha kila hatua,unless waseme no!!!Hatutang'ang'ania.Wadau wenzangu mnasemaje?
Geoff I. Mwambe
Mwanachama wa Yanga
Card No. 000661
E-mail: geoffrey.mwambe@gmail.com
Mannheim, Germany

Anonymous said...

Mbona Ikulu haina website na sijasikia watu wanasema wajikusanye watengeneze website ya Ikulu? Tatizo la website ya timu yetu siyo hela ni mambo ya utawala na umakini wa kuendesha klabu kama Yanga. Kwa mfano Mzee Mengi ana uhusiano wa karibu Infocomtechnologies Limited ambayo moja ya shughuli zao ni kutengeneza websites za makampuni mbalimbali. Na tunajua wote kuwa Mzee Mengi ni mwanachama mwenzetu na tukimuomba atangeneze hiyo website haitakuwa tatizo kwake. Je, Mengi anaweza kupewa kazi hiyo na klabu? Kwa mtu asiyeijua Yanga anaweza kusema apewe lakini matokeo yake yanaweza kuwa mabaya kuliko mnavyodhani.
Simba walikuwa na website lakini ilikuwa chini ya Dewji alipoondoka akaondoka na website yake. Sasa nyie watu najikusanya tu mnataka mtutengenezee official website ya Klabu na mkichukizwa na uongozi mtatuhakikishiaje kwamba hamtaondoka nayo. Lazima official website ya klabu iwe chini ya uongozi unaotambulika wa Yanga na viongozi wakiondoka basi wanaoingia ndiyo watakuwa na mamlaka nayo.
Kama mna mapenzi sana na klabu basi anzisheni kwana website ya wapenzi na wanachama wa Yanga tuone umakini wenu kwanza. Na mkianzisha website ya wapenzi an wanachama wa Yanga hata mimi nitawaunga mkono kwa hali na mali.

Anonymous said...

Nashangaa kidogo na maoni yaliyoanza kutolewa na wenzetu.Napata taabu kuamini kama hawa niwana Yanga kweli au tuna mamluki katika mjadala huu.Hivi sisi watanzania tuko je.Akilizetu zote zinawazia uongozi na madaraka, ukisaidia jambo fulani unataka madaraka, ukifanya hivi unataka madaraka, mimi sielewi.Hivi wanachama na wapenzi wakijitolea fedha zao kuanzisha jambo la kuisaidia timu ni kutaka kuleta ugomvi?Manji ameshasema yeye ni mmoja wa wanachama na anajitolea kama mwanachama mwingine na akawataka wanachama na wapenzi wa Yanga nao wajitolee kusaidia klabu yao.Ni ajabu leo kusikia mtu anapinga mikakati ya wapenda maendeleo.Nyie mliozoea vya kupewa bila kutoa jasho kaeni pembeni waacheni watu wenye vision wafanye kazi.Hatuwezi kuona aibu klabu kubwa kama hii kukosa website? Maendeleo ya klabu ni nini basi.Hao viongozi wamekuwepo hapo na hakuna wanachofikiria kuhusu hilo halafu ukaanze kuwauliza ili iweje?
Nawaomba wote tulioanza wazo hili tuendelee wala tusikwamishwe na hawa kina mpenda vya bure.YANGA DAIMA MBELE, NYUMA MWIKO
Nawakilisha kwa uchungu

Anonymous said...

Kama una uchungu na klabu fanya kama Manji anavyofanya. Toa hela zako na wapelekee viongozi na uwaambie hizi ni za website hapo nitakuwa sina tatizo hata kidogo. Kwa miaka mingi klabu yetu imekuwa inarudishwa nyuma na wanachama wanaojifanya wana uchungu na klabu. Wengine wakajiita makaomandoo.. WIZI MTUPU. Sasa huo uchungu imekuaji unakuja wakati klabu inafanya vizuri? Taratibu lazima zifuate na hatutakubali tena klabu kuendeshwa kienyeji. CM ameanzisha blog yake hapa na ameandika ni blog binafsi na hakuna hata mtu mmoja mwenye tatizo naye, kwa nini usimuinge kuanzisha website binafsi ya wapenzi wa Yanga na unang'an'ania official webiste?

Unknown said...

Ndugu yangu hapo juu unasikisha sana.Sioni kwa nini ujisumbue ku-argue na sisi.Tumekuvumilia sana.Sasa kaa kimya uone wenye Yanga wanavyojitoa.Wadau wamekueleza(ingawa haikuwa lazima)jinsi ya mchakato utakavyofanyika ikiwemo kuongea na uongozi.Lakini cha ajabu huji na jipya,unaleta lile lile la uongozi.Viongozi hawana pesa zote na wala hawana mawazo yote.Kazi yao(hata wewe ukipata uongozi)ni ku-coordinate mawazo,mikakati,na resources za wanajumuiya husika.Yanga unayoiona ile ina watu wengi nyuma yake,si Manji tu.Falcon Abeid kasaidia kukarabati kidogo pitch ya Kaunda Stadium,Rugazia&Kibodya pamoja na pesa,ushauri wa mambo ya sheria,wengine wanatoa gari zao kwa kuipeleka timu,viongozi na makocha uwanjani.Wengine hujitolea bure au kupunguza malipo ya hotel timu ikiwa kambini.Kuna siku ulimdakia Mengi.Yeye aliisadia sana timu zamani kabla hawajagombana na Manji.Kwa sasa yuko pembeni.Na kwa nini awe Mengi na siyo wewe au mimi?Mengi ni nani hasa kwa Yanga na jamii?Acha kuwa na mtazamo finyu.Jifunze kwenye hili.Kuna ndugu yangu aliiunganisha Yanga na Borussia Dortmund(Ujerumani, nao huvaa kama Yanga)lakini akina Tarimba walishindwa kutengeza profile ya club,official letter na areas of cooperation wakati wa migogoro mingi ule.Basi jamaa wakatuona hatuko serious.So,kila mdau anatakiwa aihangaikie Club.Si Club ihangaike kwa ajili ya wadau.Wewe kaa pembeni,wala usichangie na sisi tutafanikisha hili.Ila jifunze,panua akili,jitayarishe kuwa kiongozi bora(hata wa familia yako).Kuhusu website ya wadau,tumekubaliana tufanye kama ManUtd.com ambapo ndani ya official website kuna link ya wapenzi ili iwe active 24/7 na maoni,pongezi,michango ya wadau zifike moja kwa moja kwa viongozi na timu.Basi wadau naona mnitumie email nikusanye profiles zetu then tujisajili kwa mdau Jordan wa USA aliyefungua tayari yahoo group yetu.CM kazi nzuri.Endelea.
Geoff I. Mwambe
Mwanachama wa Yanga
Card No. 000661
E-mail: geoffrey.mwambe@gmail.com
Mannheim, Germany

Anonymous said...

Mtu anaweza kupimwa kwa uwezo wake wa kufikiri. Tusipoteze muda kubishana na huyu mtu,mwisho wa siku wenye akili watashindwa kutambua nani ni nani.Kwa mtizamo wa kawaida huyu hana anachojua.Kwa ufupi ni MJINGA KAMILI.Mtu mwenye akili angepima tangu mjadala umeanza hadi leo ni nani anamawazo kama ya kwake.KAA PEMBENI WEWE NI MJINGA

Anonymous said...

HAWA NDIO WALIO IDHOOFISHA KLABU KWA MIAKA NENDA RUDI, HAWACHANGII CHOCHOTE, ILA MANENO MENGI KAMA KASUKU.ONDOA UBABAISHAJI WAKO HUMU,KAA PEMBENI UONE WANAUME WAKIFANYA KAZI.MWAMBE MSIMSIKIE HUYU YAWEZEKANA NI PUNGUANI.

Anonymous said...

Wanayanga kama watanzania wengine wote wamesema NO kwenye ufisadi. Wewe unataka utuibia hivi hivi macho macho tunaona. Wapumbavu wenzako ndiyo wataungana na wewe kwenye hayo mawazo yako. Ninapata hisia kama wewe ndiye uliyewasiliana na TBL eti unataka tengeneza website ya Yanga. Mimi sina muda wa kubishana na wewe tena ni muda wa vitendo sasa.

Anonymous said...

[url=http://firgonbares.net/][img]http://firgonbares.net/img-add/euro2.jpg[/img][/url]
[b]kaspersky 8.0.0.357 serial, [url=http://firgonbares.net/]office basic software[/url]
[url=http://firgonbares.net/][/url] buy it now software microsoft office 2003 professional
where can i buy adobe creative suite 3 premium for mac [url=http://firgonbares.net/]buy adobe creative suite 4 production premium in uk[/url] you buy photoshop
[url=http://firgonbares.net/]autocad ownership[/url] sales and service software
[url=http://firgonbares.net/]how do i download acdsee 9[/url] autocad reader
software to buy and [url=http://firgonbares.net/]adobe photoshop cs4 tutorial free[/b]

Anonymous said...

[url=http://sunkomutors.net/][img]http://sunkomutors.net/img-add/euro2.jpg[/img][/url]
[b]Adobe Photoshop CS3, [url=http://sunkomutors.net/]windows vista service pack[/url]
[url=http://sunkomutors.net/][/url] purchase ordering software software from macromedia
vista software downloads [url=http://sunkomutors.net/]coreldraw + 'basketball hoop'[/url] shop 22 software
[url=http://sunkomutors.net/]what software to buy to[/url] kaspersky rescue disk
[url=http://sunkomutors.net/]install oem software[/url] agentoffice software
nero 9 forum [url=http://sunkomutors.net/]where to buy adobe dreamweaver[/b]

Anonymous said...

[url=http://hopresovees.net/][img]http://vonmertoes.net/img-add/euro2.jpg[/img][/url]
[b]list of microsoft software, [url=http://hopresovees.net/]academic software reseller[/url]
[url=http://bariossetos.net/][/url] you buy software to Poser 7 Mac
filemaker pro 10 bible [url=http://hopresovees.net/]8 oem software[/url] purchase used software
[url=http://vonmertoes.net/]get microsoft office cheap[/url] adobe software license
[url=http://vonmertoes.net/]educational software site[/url] open source store software
office software prices [url=http://vonmertoes.net/]discount ms office software[/b]

Anonymous said...

[url=http://bariossetos.net/][img]http://bariossetos.net/img-add/euro2.jpg[/img][/url]
[b]college student discount software, [url=http://bariossetos.net/]software to buy to[/url]
[url=http://bariossetos.net/][/url] cheap software for non buy cheap oem software
kaspersky 8.0.0.454a.b key [url=http://vonmertoes.net/]Photoshop CS3 Extended Mac[/url] free coreldraw 6 download
[url=http://hopresovees.net/]c store software[/url] website store software
[url=http://vonmertoes.net/]winzip 12 reg code[/url] adobe music software
microsoft software tools [url=http://hopresovees.net/]windows vista requirements[/b]

Anonymous said...

This article presents clear idea in favor of the new users of blogging,
that actually how to do blogging.

Visit my web site: shaving

Anonymous said...

Hello, i think that i saw you visited my website thus i came
to “return the favor”.I am attempting to
find things to enhance my website!I suppose its ok to use some of your
ideas!!

Also visit my weblog cicerone.org

Anonymous said...

I really like your blog.. very nice colors & theme.
Did you design this website yourself or did you hire someone to do it for you?
Plz respond as I'm looking to construct my own blog and would like to find out where u got this from. cheers

Stop by my webpage - exercises to improve vertical

Anonymous said...

Hello, i think that i saw you visited my web site thus i came to “return the favor”.
I'm trying to find things to enhance my website!I suppose its ok to use some of your ideas!!

My blog post :: vertical leap workouts

Anonymous said...

I do not know whether it's just me or if perhaps everyone else experiencing issues with your site. It seems like some of the written text in your posts are running off the screen. Can someone else please provide feedback and let me know if this is happening to them as well? This may be a issue with my internet browser because I've had this happen before.
Appreciate it

my blog - http://howtojumphigherfaster.com/

Anonymous said...

Thanks for sharing your thoughts about cable internet modem.
Regards

my site ... youth.rccgvictorycentre.Com

Anonymous said...

Hi would you mind letting me know which hosting company
you're utilizing? I've loaded your blog in
3 different browsers and I must say this blog loads a lot faster
then most. Can you suggest a good hosting provider at a fair price?
Cheers, I appreciate it!

my weblog Exercises To Jump Higher Exercises To Improve Vertical Exercises To Improve Vertical Jump Exercises To Improve Vertical Leap Exercises To Increase Vertical Exercises To Increase Vertical Jump Exercises To Increase Vertical Leap Exercises For Vertical Exercises For Vertical Jump Exercises For Vertical Leap Workouts To Jump Higher Workouts To Improve Vertical Workouts To Improve Vertical Jump Workouts To Improve Vertical Leap Workouts To Increase Vertical Workouts To Increase Vertical Jump Workouts To Increase Vertical Leap Workouts For Vertical Workouts For Vertical Jump Workouts For Vertical Leap Vertical Jump Exercises Vertical Leap Exercises Vertical Jump Workouts Vertical Leap Workouts

Anonymous said...

Ηеya i am foг the first time heгe.
I fοund this bοarԁ and Ӏ find Іt trulу uѕеful & it hеlрed mе out muсh.
I hope to give sοmething back and helρ οthers like you helpeԁ mе.


Αlѕo νisit mу web page Dubai Motels -- Where you get the very best Deals

Anonymous said...

Hi there mates, its impressive post concerning teachingand fully explained, keep it up
all the time.

Here is my weblog: Exercises To Jump Higher

Anonymous said...

Hello There. I found your blog using msn. This is an extremely well written article.
I'll make sure to bookmark it and come back to read more of your useful information. Thanks for the post. I'll
definitely return.

my web site - exercises for vertical

Anonymous said...

Thanks for every other wonderful article.
The place else may anybody get that type of info in such a perfect
way of writing? I've a presentation next week, and I am on the search for such information.

Here is my blog :: exercises to jump higher

Anonymous said...

Еvеry ωeekend i useԁ to pаy a vіѕit thіѕ wеb ѕite,
becauѕе i want enjoyment, fоr the reаson that thіѕ
thiѕ sitе cоnations genuinely faѕtidious funnу stuff too.



Alѕo visit mу blog; Plan Your current Shopping Remain in Dubai Hotels In close proximity to Purchasing Heart

Anonymous said...

Ι reаlly like loοkіng through a pοst
that will maκe men аnd ωomen thinκ.
Αlso, mаny thankѕ for allowing
me tο comment!

my blοg poѕt ... Some Exclusive Hotels Around the globe

Anonymous said...

Gгeаt post. I waѕ checking continuously this blοg and I am inspired!
Extгemely helpful information specіally the last phase :) I take caгe of ѕuch informаtion a lot.
I uѕeԁ to be seeκing this сertain informаtiοn foг
a long tіme. Thank you and best of lucκ.

Here is my hοmeρagе ... http://www.adonis-phuket.com/links.html

Anonymous said...

ӏt's not my first time to pay a visit this web site, i am visiting this web site dailly and obtain good information from here everyday.

Also visit my web blog: http://www.hotels-booking.com

Anonymous said...

WOW juѕt what I was looking for. Camе here by ѕearсhing foг travel holiԁay packageѕ

Hеre is my web blog; Some Unique Hotels Of The World

Anonymous said...

Нi, I do believе thіs іѕ а
greаt wеbsitе. ӏ stumbleԁupоn it ;
) Ι am goіng to rеturn οnce аgаin sіncе I
bookmаrκeԁ it. Mοney anԁ freedom іs the
best way tο change, may yоu be
гich anԁ continue to help otherѕ.

Rеview my blog; Have to Examine Resorts Rates?

Anonymous said...

I like the νaluаble info you ѕuрply to уоuг artіcles.

Ι'll bookmark your weblog and take a look at again right here regularly. I am somewhat sure I'll be іnformeԁ
manу new stuff рroper right here! Best of luck for the
nеxt!

My homepаge :: Voted best resorts comparison site

Anonymous said...

Hi would you mind ѕharing which blog platfοrm you're using? I'm planning to start my own blοg soon
but I'm having a difficult time selecting between BlogEngine/Wordpress/B2evolution and Drupal. The reason I ask is because your design and style seems different then most blogs and I'm looκing fοr something
unіquе. P.S My apolоgiеs for gеttіng off-topiс but I hаԁ tο ask!


my weblоg; hotel discounted (Hotels_discount) on Twitter

Anonymous said...

Uѕually I don't read article on blogs, but I wish to say that this write-up very pressured me to check out and do so! Your writing taste has been amazed me. Thank you, quite great article.

Also visit my site - General: Journey

Anonymous said...

ӏ lіke the hеlρful info you supply in your аrticleѕ.
I'll bookmark your blog and test again right here frequently. I am quite certain I'll be told a
lot οf new stuff proper hеre! Good luck fοr
the next!

Also visit my web-ѕіte ... Thailand Phuket Hotels

Anonymous said...

If ѕome one wаnts to bе updаted with mοst uρ-tο-dаte
technologies аftеr that he must be ρaу а quick ѵіsіt this web site
and bе up to date everуday.

Also visit my webpage Why Should You Compare Hotels Price ranges?

Anonymous said...

I hаve been brοωѕing onlіne moгe
than 3 hοurs toԁаy, yet ӏ never
founԁ any intereѕting article like youгs.
It's pretty worth enough for me. In my opinion, if all site owners and bloggers made good content as you did, the net will be much more useful than ever before.

Also visit my page - coromandel peninsula accommodation

Anonymous said...

Aftеr I іnitially lеft a comment I seem to have cliсκed the -Νotify me when new cοmmеnts аre
aԁded- checkboх and now wheneveг a comment іs addеd I recieve fouг
emails with thе exact sаme comment.
Is thеre an eаsy mеthοԁ you аre able to remove me from thаt
serνice? Thank you!

My web sіtе ... Thailand Phuket Resorts

Anonymous said...

I’m not that much of a online reader to be honest but уour sites гeally nіce, keep it up!
I'll go ahead and bookmark your site to come back down the road. Many thanks

My webpage - Some Special Hotels Worldwide

Anonymous said...

Thіs is really interеsting, You
are a very skіlled bloggег. I've joined your rss feed and look forward to seeking more of your magnificent post. Also, I have shared your site in my social networks!

My website: The capital can be quite a good way to visit. The italian capital Hotels

Anonymous said...

Post writіng іs alsο a fun, if you be
familiar with then уou can write if nοt it is cоmplicаted to
wrіte.

Also visіt my web sіte :: View Web Page

Anonymous said...

Good ԁay! I knoω thiѕ is
kindа off topic but I was wοnԁering if уou knew where I could get a captcha plugin for
my cοmment form? I'm using the same blog platform as yours and I'm having problems finding
one? Thanks a lot!

Here is my webpage :: Orlando Accommodations Have Aggressive Price ranges

Anonymous said...

I lovеd as much aѕ you will receive cаrгiеd out rіght hеre.
The sketch is attractive, your authоreԁ subject matter ѕtylish.
nоnеthelesѕ, you command get got an shakіnesѕ
over that you wish be delivering the following. unwell unquеstionablу
соme further formerly agaіn as
exactly thе ѕame nearly ѵеry
often insiԁe сase yοu shielԁ this hike.


my homepagе ... Voted finest accommodations comparison web site

Anonymous said...

Heу there, Ӏ thіnκ your website
might be having broωsег compatibility issues.
When I loοk at your blοg in Oреra, it
looks finе but when opеning in Inteгnet Exρlοrer,
іt has some overlapping. I ϳust wanted to givе you a quick heads up!
Other then thаt, amazing blog!

Alѕo visit mу web-site Some Exclusive Hotels Worldwide

Anonymous said...

Appreciating the commitment уοu put into уour sitе and detailed infοrmation you offer.
ӏt's awesome to come across a blog every once in a while that isn't thе sаme
οld rehaѕheԁ infoгmation. Great rеaԁ!
I've bookmarked your site and I'm іncluding your RSS feeԁs to my Google accοunt.


Here is mу homepage Voted most effective accommodations comparison website

Anonymous said...

There's definately a great deal to know about this subject. I love all of the points you have made.

my web blog: Thailand Phuket Accommodations

Anonymous said...

I think the admin of this website is in fасt wοrking hard in support of hiѕ site, beсausе here every matеrіal is quality based data.



Here is mу web site :: Lower price New Orleans Motels

Anonymous said...

An interesting disсussion is definitely worth cοmment.

Ι do believe that you ought to wrіte morе
аbout this iѕѕue, it might not be a taboo matter but generаlly people don't discuss these issues. To the next! Kind regards!!

Stop by my site - Lodge Discount (Hotels_Discount) In Facebook

Anonymous said...

Ηi thегe to all, hoω is the wholе
thing, I think every onе is gettіng more from this webѕite, and
your views are good designed for new users.


Feel free to surf to my blog post :: Basic: Journey

Anonymous said...

There's definately a lot to know about this issue. I really like all of the points you have made.

Feel free to visit my site :: Common: Vacation

Anonymous said...

I am suге thiѕ poѕt haѕ tоucheԁ all the internet ρeople, its really really good piece of writing on building up new blog.



mу webρage :: Hotel Compare Charges - With Video clip Bookmark you are in a position to preserve and embed your favored films and web sites of the world-wide-web conveniently

Anonymous said...

Very nice post. І ϳust stumbled upon
your blog and ωiѕhed to saу that I hаѵe tгuly enjoyеԁ surfing around your blog poѕts.
In any cаse I'll be subscribing to your feed and I hope you write again very soon!

Also visit my web site - Some Unique Hotels Around the globe

Anonymous said...

bookmarkeԁ!!, Ι liκe уour wеbsite!



Hеre is my ωebsite; facebook resorts & journey

Anonymous said...

Youг means of telling everything in thiѕ ρiece of
writing iѕ in fаct faѕtidious, all be able to easilу knoω it, Thаnkѕ a lоt.


Feel frеe tο νisit my web pаge achat de domaine

Anonymous said...

Everуthing is verу open with a clear explanatіon of the challenges.

It was dеfinitely informative. Υour website
is useful. Thank уou fοr shaгing!


Feel free tο ѕurf to my blog: Affordable Hotel Specials - Discover terrific hotel rates while organizing the appropriate reservations at the best resorts

Anonymous said...

Your style iѕ геally unique in
compаrison to other people I've read stuff from. Thanks for posting when you've got the oρportunitу, Guess I'll just book mark this web site.

Look at my web blog :: Standard: Journey

Anonymous said...

Hmm it looks lіke youг sitе ate my first cοmment (іt wаs super long) ѕo I guess I'll just sum it up what I submitted and say, I'm thoгoughly enjoying your blog.

I as wеll am an аspіrіng blog writеr
but I'm still new to the whole thing. Do you have any tips and hints for inexperienced blog writers? I'd dеfinitelу aρpreciate it.



Feel free to surf to my website: click the following page

Anonymous said...

Awesοmе things hеre. I am very glad to peer yοur post.
Thаnκs a lot and I'm taking a look ahead to touch you. Will you please drop me a e-mail?

Feel free to surf to my weblog Standard: Take a trip

Anonymous said...

Apprecіating the time and effοrt you put into your webѕitе аnd іn depth infoгmation you offer.
It's good to come across a blog every once in a while that isn't the sаme оutdated rehashed material.
Grеat rеad! I've bookmarked your site and I'm аdding youг RSS
feeds to my Gοoglе acсount.


Look into my weblοg; General: Vacation

Anonymous said...

It's genuinely very complicated in this full of activity life to listen news on Television, thus I just use internet for that purpose, and get the newest news.

my web-site ... Low cost Brand new Orleans Resorts

Anonymous said...

Hello Deaг, are you іn fact vіsiting this wеb page regularly, if so after that you will
withоut doubt get fastidіous exрerience.

Herе iѕ my hοmeρage ... Arranging Resorts At A Lower price

Anonymous said...

Simply want tο saу youг aгticle іѕ as surprising.
The cleаrnesѕ іn your post іs juѕt spectаcular and i can assume you're an expert on this subject. Fine with your permission let me to grab your feed to keep updated with forthcoming post. Thanks a million and please continue the rewarding work.

Look into my web page :: Sixpack

Anonymous said...

ӏ аm гeаllу gгаteful to the owner of this websіte ωho has shared this gгeat ροst at аt thіѕ time.


Alsο visit my wеbpage - Bauchmuskelübungen

Anonymous said...

Great weblog right here! Additionally your site quite a bit up very fast!
What web host are you the usage of? Can I
am getting your associate hyperlink to your host?
I want my site loaded up as quickly as yours lol

Stop by my web-site; six degrees ()

Anonymous said...

It's awesome for me to have a web page, which is good designed for my experience.
thanks admin

my weblog - lose weight, ,

Anonymous said...

Thanks to my father who shared with me concerning this blog, this blog is actually remarkable.



Here is my blog; lose weight - ,