Blogu binafsi kwa ajili ya wapenzi na wanachama wa Yanga popote pale ulimwenguni kubadilishana mawazo na kupashana habari
vipi game inaendeleaje huko?
tupeni matokeoooo
mpira umekwisha Yanga vs Kagera 1-1.Mtibwa vs Villa 2-1
TUNASHUKURU SANA CM MIMI NIKO SUMBAWANGA HAPA MKOA UMESAHAULIKA HADI REDIO TANZANIA KUSHIKA TABU
mbona mie niliambiwa redio binafsi zinasikika S'wanga? au nemidanganywa?
timu yoyote chini ya yanga ina uwezo wa kupata nafasi ya pili ikiwa itashinda mechi zote zilizobaki!
anonymous was Mar 30 1:04:00 PM - una maana hata simba wamo humo? utawafanya washangilie bure!
Post a Comment
7 comments:
vipi game inaendeleaje huko?
tupeni matokeoooo
mpira umekwisha
Yanga vs Kagera 1-1.
Mtibwa vs Villa 2-1