Tuesday, March 31, 2009

Tumejiandaaje kuifunga Al Ahly?


  • Je kuwapeleka Al Ahly katika dimba la Uhuru lenye nyasi bandia pamoja na kuweka muda wa kuanza mechi kuwa saa 9 alasiri inatosha kuwaadhibu Wamisri 4-0?
Hebu tusikie maoni yenu wadau.

5 comments:

Anonymous said...

Kwangu mimi tumeishatolewa, tujipange for next year. Magoli manne ni mengi sana, nadhani CAF nao wanatubaniaga sana, kila mwaka wanatuweka na waarabu bwana...nadhani tujipange for next year, nadhani mwaka huu tuna kikosi kizuri sana, mfumo wa kocha wetu tu mimi ndiyo siufurahii sana, tunakuwa kama tuna bahatisha hivi...Yanga mbele.... Nyuma....

Anonymous said...

tukaze buti tushinde 1 haraka haraka,baadae tuweke la pili,watachanganyikiwa,na kuweka la 3,zikiongezwa dakika tunaweza kuwachomeka la 3,kama itawezekana tufanya sasa,mwakani tunaweza kuanguka nao tena hatua yamwanzo kabisa ktk kura hawa jamaa,tuna bahati nao sana kucheza nao,lakini tukiwachapa na kucheza soka la uhakika,mwakani itakuwa rahisi hata tukianguka nao tena,na watakuwa na hofu pia juu yetu

Anonymous said...

Ni ndoto za mchana hizi! Yale yale ya mende kuangusha kabati!

Anonymous said...

haya mende kishaingia chumbani ,weka dawa .

Anonymous said...

mnafungwa na azam mtaweza wa misri ama kweli ni ndoti za mende kuangusha kabati, nyie hamna timu bwana