Tuesday, March 31, 2009

Ngoma sasa kupigwa Uwanja Mpya
Kwa habari zaidi cheki hapa

6 comments:

Anonymous said...

sawa ilitakiwa iwe hivyo tangu mwanzo linalotakiwa sasa vijana wakaze buti maana hata huo uwanja wa karume laiti matokeo yatakuwa si mazuri basi mtawapa maneno maadui kila la kheri wana yanga wote na watanzania kwa ujumla

Anonymous said...

Hata mkiamua kuipeleka mechi wanja la Samora - Iringa, nyie ni wa kufungwa tu!

Anonymous said...

nyinyi Simba lini mtaingia akili?
kila siku munacheza mechi bila ya kujua wachezaji wenu kana wana kadi au vipi?muhashindwa hata karatasi ya kuandika kumbukumbu ya matukio ya kila mechi ktk klabu yenu, haya basi tayri poiti 3 mumemtemea Azam,na hio nafasi ya pili ndio kwichi nehiii, jipangeni kuipata nafasi hio 2011,kwani hapo yanga atakuwa hanampinzani ktk ligi vijana wanazidi ukali,na ninyi bwana wenu hivi sasa aliekuwa akikufanyeni muonekane kama timu mohammed enteprises chama lake African Lyon litakupigeni bao gemu zote mutakazokutana nao,kwani huyu tajiri yenu wa zamani anakujuilieni sana,

Anonymous said...

Wewe kweli ni mjinga sana....Leo ni siku ya wajinga and umekubali kuwa mjinga kwa kukubali habari eti Haruna alikuwa anayo Kadi mbili za Njano....hahahaha

Anonymous said...

Haya mdau unasema Mohammed Enterprises, haya na ninyi Manji yupo wapi? sasa wachezaji wanalia njaa, ni juzi nilikuwa nimekaa kwenye kijiwe fulani, mchezaji mmoja tegemeo alikuwa anasema "Da enzi za Manji saa hizi mishaara ningekuwa nimepata mshaara wangu zamani" haya,,,,,cha maana Manji anawachia jengo ambalo litakuwa historia kwa hilo namkubali sana jamaa yule, lakini mengine ameona duu, napoteza fedha za bure and timu haichezi mpira anaotoka yeye. Habari nyingine zinasema kuwa Manji anataka kuwa na timu yake binafsi, sana itakuwa Villa wakishuka daraja, anataka kuipandisha na kuimiliki mwenyewe, habari ndiyo hiyo,

poker said...

PROMO DELIMA
poker online terpercaya | poker online | Agen Domino | Agen Poker | Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | Judi online terpercaya | bandar qiu | situs judi online

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat. Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: delimapoker
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___