Sunday, August 30, 2009

RATIBA YA LIGI KUU YA VODACOM 2009/10


complied by CM
Kwenda kulia: Mechi za nyumbani
Kwenda chini: Mechi za ugenini

8 comments:

Anonymous said...

Good job CM

Anonymous said...

o yes very nice bro.

Tina said...

ah mimi napenda sana kuitembelea hii blog lakini tatizo naboreka,unaweza ukaja ukakuta habari za zamani sana wakati tunataka mtuapdate kuhusu yanga jamani tutajulia wapi kama sio hapa,muwe mnatuambia habari hata habari ya kuichapa manyema kwenu baaaaaaaaaaaado kabisa khaa,muhusika vipi au mpaka ulipe 1000 nini kuingia internet sema tupige donation upate laptop jamani kama michuzi vile.

CM said...

Habari za kila mechi huwa nazitoa LIVE kwa kila goli linalofungwa kupitia katika comments za mechi husika.

Kwa mfano angalia post ya mechi zetu mbili zilizopita na comments zake.

Kuhusu donation au suala la mimi kuingia kwenye Internet cafe, linavunja moyo kiaina.

Nashukuru kwa maoni yako Tina.

Geoff Mwambe said...

Kazi nzuri CM. Wadau tumpe moyo maana yeye anajitolea tu na wala halipwi na Yanga. Labda tu ningekushauri CM uandike write-up ndogo na u-negotiate na kampuni mbalimbali waweze kudhamini kazi yako. Ziko kampuni nyingi tu zinaweza kudhamini blog yako. Na hasa ikiwa inakuwa updated mara kwa mara na kuongeza interaction za wadau wanaotembelea humu.

Pia nahitaji jina lako kamili kwa ajili ya kuku-acknowledge kwenye kazi ambayo nafikiri unaijua. So unaweza kunitumia via geoffrey.mwambe@gmail.com. Tunathamini mchango wako kuwa-keep "Twigas of Jangwani" informed.

Yanga Daima
Geoff Mwambe
Mwanachama Yanga
Mannheim, Germany

ASKOFU said...

nashukuru sana kujua kuwa kumbe timu yangu ina blog, hili ni jambo la busara sana. ila naomba hii blog iwe update kweli na sio tukute mambo ya zamani tu huku kwa kweli tutafurahi sana. kuona klabu yetu ikiwa namaendeleo mazuri.
SHABIKI NAMBA MOJA WA YANGA MJINI KARATU ARUSHA TANZANIA.

Anonymous said...

c m fanya mambo yako kwa uhuru hao mashabiki wengine wanakupangia ufanye nini ,hata haileti mantiki yoyote ,labda ni wana panya wanataka kukukatisha tamaa.asante.

poker said...

PROMO DELIMA
poker online terpercaya | poker online | Agen Domino | Agen Poker | Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | Judi online terpercaya | bandar qiu | situs judi online

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat. Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: delimapoker
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___