Yanga vs Moro Utd
Yanga leo inajitupa kwenye uwanja wa Uhuru kupambana na Moro United katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania.
Mechi imemalizika kwa Yanga kuichapa Moro United 1-0. Bao la Yanga limefungwa na Nurdin Bakari katika dakika ya 32.
Kwa ushidi huo, Yanga ipo katika nafasi ya pili ya msimamo wa ligi kwa kujikusanyia jumla ya pointi 18.
3 comments:
Yanga inaongoza 1-0 lililofungw katika dakika ya 32 na Nurdin Bakari.
matokeo ndio goli moja mpaka hivi?
Dakika 90 zimemalizika hivi punde, Yanga imeifunga Moro United 1-0.
Post a Comment