Blogu binafsi kwa ajili ya wapenzi na wanachama wa Yanga popote pale ulimwenguni kubadilishana mawazo na kupashana habari
Saturday, December 26, 2009
Muuaji wa mnyama
Mchezaji wa Yanga Shamte Ally ambaye amepeleka huzuni kubwa mtaa wa Msimbazi kwa kupachika bao la ushindi la timu yake dhidi ya Simba katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la Tusker. Yanga ilishinda 2-1.
8 comments:
Anonymous
said...
Kwa stahili ile ya uchezaji na spirit ya wachezaji ilivyo kama itaendelea basi kwa miaka kama mitatu ijayo yanga itakuwa ni balaa. Sina budi kumpongwza mwalimu kwa mfumo anaoutumia kwa kutoa kipaumbele kwa wachezaji wazawa na kuachana na hawa watalii wanaokuja kutuchuna tu. Namshauri Manji aache kudanganywa na wapenda cha juu kwa kutuletea wachezaji ambao hawana tija yoyote kutoka nje. Kama yuko serious basi ahakikishe hiki kikosi kinabaki muda mrefu sio siri combination ya Ngassa,Tegete, Kigi ikikaa pamoja kwa muda itakuwa ni balaa.
Paka kapigwa 2-1, Manji amekataa kugombea uenyekiti na pia kaandika barua kwa wazee kujitoa ufadhili. Ingawa Madega kakanusha akidai uongozi haujapata barua ya kujitoa kwake na kumwaga lawama kwa wazee kwamba wanaleta chokochoko.
8 comments:
Kwa stahili ile ya uchezaji na spirit ya wachezaji ilivyo kama itaendelea basi kwa miaka kama mitatu ijayo yanga itakuwa ni balaa.
Sina budi kumpongwza mwalimu kwa mfumo anaoutumia kwa kutoa kipaumbele kwa wachezaji wazawa na kuachana na hawa watalii wanaokuja kutuchuna tu.
Namshauri Manji aache kudanganywa na wapenda cha juu kwa kutuletea wachezaji ambao hawana tija yoyote kutoka nje. Kama yuko serious basi ahakikishe hiki kikosi kinabaki muda mrefu sio siri combination ya Ngassa,Tegete, Kigi ikikaa pamoja kwa muda itakuwa ni balaa.
ndugu zangu niko mbali hili jinyama nasikia limeumia tena kweli? kama kweli dua zangu nzuri simuombei dua nzuri maisha mnyama.
Simba imejifariji kwa ushindi wa tatu leo baada ya kuwafunga wachovu Tuker FC 2-1
asante cm ,kama tumelinyoa misharubu jinyama, huyo paka dawa yake samaki, asubiri kibondo.
CM, vipi Manji amekubali kugombea uenyekiti Yanga au amewatolea wazee nje? tupeni habari basi.
cm usiwe mbali kutuhabarisha kuhusu kibondo cha PAKA thnx!
paka analia nimemwambia akamsadie simba
Paka kapigwa 2-1, Manji amekataa kugombea uenyekiti na pia kaandika barua kwa wazee kujitoa ufadhili. Ingawa Madega kakanusha akidai uongozi haujapata barua ya kujitoa kwake na kumwaga lawama kwa wazee kwamba wanaleta chokochoko.
Post a Comment