Tuesday, December 01, 2009

Usajili wa dirisha dogo
1. Ally Msigwa
2. Steven Marashi
3. Bakari Mohamed
4. Nadir Haroub (amerejea kutoka Whitecaps)
5. Wisdom Ndhlovu
6. Athuman Idd
7. Nurdin Bakari
8.Kabongo Honore
9. Steven Bengo
10. Robert Jama Mba
11.Boniface Ambani
12. Fred Mbuna
13.Geofrey Bonny
14. Mrisho Ngassa
15. Moses Odhiambo
16. Amir Maftah
17. Obren Cuckovic
18. John Njoroge (Mpya)
19. Shadrack Nsajigwa
20. Iddy Ally
21. Abdi Kassim
22. Nelson Kimath
23. Kigi Makasi
24. Shamte Ally
25. Hamisi Yusuph
26. Razak Khalfan
27. Jerry Tegete
28.George Owino
29.Yaw Berko (Mpya)

WALIOACHWA
1. Mike Baraza-Mkataba umekwisha
2.Vicent Barnabas-Kwa mkopo African Lyon
3.Joseph Shikokoti- Ameondoka

7 comments:

Tina said...

binafsi i have no comment zaidi ya kuitakia mafanikio mema timu yangu ya YANGA,mungu aibariki katika msimu mpya Ujao na mechi zake zote za kitaifa na KIMATAIFA .AMEEEEEEEEEEEEEEN!!

Anonymous said...

Mwaka huu timu yetu mbovu usajili tuliboronga.Tungoje mwakani.Mara Ambani amekwisha mara tumemrudisha.Viongozi wanakurupuka na maamuzi mabaya.Nasikia Ndolanga ndio anapigiwa kampeni.Tutakuwa tumeruka mkojo tumekanyanga mavi.

tina said...

nasikia kuna mpango wa kuanzisha Friends of Yanga.kundi itakuwa chini ya Jamal Malinzi kuhakikisha duru la pili na kombe la mabingwa wa afrika linatua jangwani.

Masebe said...

Sidhani kama kuna haja ya kuwa na friends of Yanga kwa sababu tuna Yanga family ambayo haina tofauti hiyo inayo fikiriwa kuanza.
Wasiwasi wangu ni huyu kocha mpya. Awali alitangaza kuwapunguza wachezaji wageni hadi kubaki na watano,lakini sasa naye anaendelea kuongeza wengine, mwisho wake ni nini. Nyinyi mlio karibu huko hebu tusaidieni kujua juu ya jambo hili.

Anonymous said...

hilo litakua ni jambo la maana sana kuanzisha friends kwani family inalegalega mapesa yapo mbinu zipo, nasio kumtegemea manji 2uuuuuuuuuuuuuuu,
nae m2 anachoka

mdau italy buruda!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

Inakuwaje CAF wanaitambua Simba kama ndio club Bingwa ya Tanzania alihali, Yanga ndio mabingwa?

Embu angalia hizi Ratiba za CAF kwa mashindano ya Mwaka kesho

http://www.cafonline.com/userfiles/file/clpdf.pdf

http://www.cafonline.com/userfiles/file/ccpdf.pdf

poker said...

PROMO DELIMA
poker online terpercaya | poker online | Agen Domino | Agen Poker | Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | Judi online terpercaya | bandar qiu | situs judi online

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat. Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: delimapoker
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___