Wednesday, December 09, 2009

Ligi ya Mabingwa Afrika 2010

Yanga kuanza na Wakongo

Siku moja baada ya Shirikisho la soka Afrika CAF kuipanga klabu ya Yanga katika michuano ya Kombe la Shirikisho badala ya Ligi ya Mabingwa, hatimaye ratiba hiyo imerekebishwa na sasa Yanga itaanza kampeni yake kwa kuchuana na klabu ya FC Lupopo ya DRC.

Yanga itaanzia nyumbani kati ya tarehe 12, 13 na 14 Februari 2010 hii ikiwa ni raundi ya awali ya michuano hiyo. Mechi ya marudiano itapigwa wiki mbili baada ya pambano hilo la Dar es Salaam.

Endapo Yanga itavuka kikwazo hicho, itakumbana na Dynamos ya Zimbabwe katika raundi ya kwanza ya michuano hiyo huku mechi ya kwanza ikipigwa nyumbani kati ya tarehe 19, 20 na 21 Machi 2010.

Kwa ratiba kamili cheki links hizi

LIGI YA MABINGWA AFRIKA

KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA


11 comments:

Anonymous said...

jamani vipi mchezo wa kirafiki leo mghana kazuia?

mdau italy

Anonymous said...

Waungwana mtake msitake umasikini wa bara unasababishwa kuwabeba hawa watoto wa watumwa, ambao hawataki kufanya kazi bali kazi kufirana tuuuuuuuuuuu

Anonymous said...

ibilisi weeeeeee shut up

Anonymous said...

tena funga domo lako kale wali maharangwe simba yanga hooooooooooooyee

Anonymous said...

wewe hacha matusi mzima wewe kwanza nani kakuita

Anonymous said...

Tumekunywa kwa TMK 2-0.

Anonymous said...

hoja hujibiwa kwa hoja, hivi kawatukana nini huyu jamaa ili kuonyesha uungwana wenu mjibuni kwa hoja. Maana hili nami nimelisikia saana hata watu wamewahi kusema msaana kuwa kuna wasagaji hata mawaziri wanawake zenji.

Anonymous said...

wee anonymous wa pili hapa ni mahala petu sisi wana wa jangwani kupeana taarifa za mpira na sio ZE UTAMU halafu unaonekana mtu wa kuja, mtoto wa mjini haongelei maisha ya mtu. unahitaji msaada,


mdau ITALY

Anonymous said...

Jamani mmemsikia kijana Steve Bengo alivyokuwa anatesa hapo kati? sasa kulikoni Yanga hapati namba?

Anonymous said...

tatizo nafiliri jangwani bado mpira wa zengwe kama enzi zileeeeeee!!!!!!!!!!

poker said...

PROMO DELIMA
poker online terpercaya | poker online | Agen Domino | Agen Poker | Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | Judi online terpercaya | bandar qiu | situs judi online

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat. Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: delimapoker
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___