Sunday, January 24, 2010

Ligi Kuu ya Vodacom

Yanga vs Manyema
Pambano kati ya Yanga na Manyema linapigwa leo katika Uwanja wa Uhuru, huu ni mchezo wa pili wa raundi ya pili ya ligi kuu ya Vodacom.
Kwa kile kinachoendelea, fuatilia hapo chini kwenye comments.

5 comments:

CM said...

Dakika ni ya 82, Yanga inaongoza 3-1.

Mabao ya Yanga yamefungwa na Mrisho Ngassa dk ya 4, 37 na 47.

Bao la Manyema limefungwa na Julius Mrope dk 46.

CM said...

Dakika 90 zimemalizika hivi punde kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Manyema (Mkuki wa sumu).

Kwa ushindi huu, Yanga imefikisha pointi 27.

Anonymous said...

kwa maana hiyo bado tupo nyuma kwa pt 12 kumfikia mnyama

Anonymous said...

kwa maana hiyo bado tupo nyuma kwa pt 12 kumfikia mnyama

Anonymous said...

Hapa ni kufikiria nafasi ya pili tu mwaka huu, kimahesabu mnyama yuko mbali sana labda wahujumiane kama ilivyokua Prison mwaka 2007. Lakini kwa kiwango cha Simba kwa sasa, tukizungumza kuihalisa na ushabiki ukawekwa pembeni basi Simba wana asilimia kubwa ya kuwa mabingwa.