Tuesday, January 26, 2010

Yanga 1991
Je, mnalikumbuka hili squad la mwaka 1991? Kwa mdau mwenye kumbukumbu nzuri hebu tushushie majina

6 comments:

Anonymous said...

Stephen Nemes, Sahau Kambi, Selemani Mkati, Ken Mkapa, Godwin Aswile, Thomas Kipese, Salum Kabunda, Abboubakar Salum, Fredy Minziro, Said Swedi, Issa Athuman,Said Zimbwe, Justin Mtekele, Kocha alikuwa Mziray, nimeandika majina bila kufuata utaratibu, nadhani wachezaji wawili majina yao nimeyasahau.

Anonymous said...

Aswile, Zimbwe, Tingisga, Kabunda, Sure Boy, Minziro, Mtekere, Skudi, Mido
Issa A, ??, Ken, Sahau, Nemes, Mkati

Anonymous said...

meneja wa timu mr mohamed virani.

Anonymous said...

Kutoka kushoto waliosimama: Mziray, Maggid, Dk Manyika, Mkati, Nemes, Kambi, Mkapa, Mngazija, Issa Athumani, Virani.

Waliochuchumaa kutoka kushoto: Aswile, ZImbwe, Sanifu, Kabunda, Abubakar, Minziro, Mtekere, Scud na ????

Anonymous said...

Mdau wa nne kawataja vizuri sana! Wa mwisho aliyeshindwa kumtaja ni Jumanne Shengo.

Anonymous said...

sasa hapo line up ilikuwa:
sahau kambi
minziro, aswile 'scania', kabunda na mkapa
abubakar, issa na mtekere
ss scud, mgazija na sanifu.


kama sikosei kikosi hiki kilichukua ubingwa, alafu wakaenda uganda afrika mashariki na kati msimu uliofuata: namba zilizoongezeka msimu uliofuata (hawapi pichani) lunyamila, mmachinga na said mwamba

alafu akafuata mtwa kihwelu, (na winga mmoja mkongwe akaja kutoka simba (sikumbuki jina lake)

enzi hizo marehemu gulamali alikuwa kwenye 'helm'. acha kabisa,