Saturday, February 27, 2010

LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Yanga yatolewa

FC Lupopo wamefanikiwa kusonga mbele katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuifunga Yanga 1-0 huko Lubumbashi.

Bao pekee la mchezo huo lilifungwa kwa kichwa na Kayembe Muyaya katika dakika ya 76.

Yanga itarejea Dar keshokutwa mchana.

12 comments:

Anonymous said...

Duh!! kweli la kuvunda halina ubani.

Anonymous said...

kweli tumechelewa kuamka.haya sasa mwakani

Anonymous said...

Hivi simulikwisha tolewa tangu Dar au mulikuwa munangoja ushahidi!

Anonymous said...

Ngoja sasa tusikie visingizio vya minjino mara oh mabegi yaliibiwa mara oh tulifanyiwa fujo na mashsbaki ili mradi burudani tupu. Tukubali kuwa timu yetu Haina ubavu mashindno ya Africa zetu ni mechi za vikombe vya ubwanwa hapa nyumbani tu!

Anonymous said...

hii sio blog ya wakimbizi jamaani

Anonymous said...

Hili ndio tatizo lenu wana YeboYebo hamtaki kukosolewa hata kidogo. Mkiambiwa ukweli mnakimbilia kusema tusiwaingilie kwenye blog yenu. Mtakapokubali kuwa timu yenu nyanya ndio labda mnaweza kuanza kujipanga upya

Anonymous said...

wewe huna lolote ile ada umelipa au?ngoja bado simba ndio uje kunikosoa kwenye blog yetu wewe mkinbizi wa huko.

Anonymous said...

Congrats yanga kwa kuwa na blog hii. Nimepata habari hii nikiwa Ughaibuni. Kipigo kisiwe chanzo cha mgogogo. Mjipange upya!! Miaka bado ipo mingi mbele.

Anonymous said...

Hapa tunaelimishana kila kitu hawa mafedhuli toka visiwani wasitutishe tunawajua kuliko wanavyofikiria, tujenge Yanga yeu na tuwafichue hawa ili kuioko zenji isiende kwenye sodoma na gomola

Unknown said...

kwa kweli lawama za matokeo haya kiasi fulani inabidi Mpangala abebe. wachezaji wetu wamechoka sana kutokana na ratiba mbovu iliyopangwa na TFF na kiongozo wetu ambaye ndio tunamuita Katibu wa Mashindano wa Yanga akashindwa kuona ni jinsi gani tulivyopangiwa ovyo wakati wenzetu wanakuwa na muda wa kupumzika. mfano mwepesi wametoka kucheza na kagera wakapumzika, sisi tumefululiza kucheza. angekuwa makini na ratiba angeshauri uongozi wa juu kuwasilisha malalamiko. yeye kila kukicha ugomvi na wachezaji! kifupi HATUFAI kwa nafasi hiyo aliyonayo!

Anonymous said...

tumeshatolewa. tujipange kwa ajili ya makani na ligi ya nyumbani. kwani tunatakiwa tuwape kipigo hawa mabwege ili mdomo waliokuwa wanaukenua waufunge. pia viongozi kuweni makini na mpango wa wenzetu wenye mkia. wanataka kumpa Papic timu ya Taifa ili kutuzoofisha. wanaongea na waandishi wa habari ili kumpamba mwalimu wetu then akishapata hiyo timu mwakani na sisi tunaanza tena kuhaha. tusikubali hali hii japo kwa Mwalimu binafsi ni sifa kwake.

Anonymous said...

mimi yanga imara ,kufungwa au kufunga sibadili hata nife .yanga ni timu yetu kama simba zina leta mshikamano ila sasa tuongeze nguvu.