Saturday, March 06, 2010

LIGI KUU YA VODACOM

06.03.2010
Simba vs JKT Ruvu
Mtibwa vs Moro Utd
Kagera Sugar vs African Lyon
Toto Africa vs Prisons
07.03.2010
Yanga vs Azam

14 comments:

CM said...

Simba imeifunga JKT Ruvu 3-1 katika mchezo uliomalizika muda mfupi uliopita.

Simba imebakiza pointi 2 kutwaa ubingwa.

Unknown said...

Tusikate tamaa na mbio za ubingwa, akitoka sare mchezo mmoja na kufungwa miwili kati ya mitatu iliyobaki nasi tukashinda yote tutatetea taji letu.

Unknown said...

Tunahitaji ushindi kesho ili kuendelea kuwa na matumaini na wakati huohuo tukiombea wenzetu wachemshe.

Anonymous said...

Yanga Blog iko juu kwa mabreaking news za sports kuliko blog zte za Kibongo! Big up wanayanga muendelee kutuletea breaking news.
Mimi ni Simba damu damu, lakini kwa hili nawapa hongera

Anonymous said...

Endeleeni kuota!! Yaani mko kama fisi anaevizia mkono uanguke!! Haunguki huo mlie tu, subirini mwanakni mjipange upya. Yeboyebo mdebwedo!!!!!

Anonymous said...

yebo yebo mama yako wewe fisi

Anonymous said...

Mtatukana sana mwaka huu YEBOYEBO MDEBWEDO. Lazima mwaka huu ubingwa uchukuliwe mgongoni kwenu!!!

Unknown said...

Jamani wanaYANGA wenzangu, lazima tuonyeshe tofauti kati yetu na hao wenzetu ambao ustaarabu umewapita kando. Lengo la Blog hii si kutukanana ila kupeana habari na kubadilishana mawazo. Hongera kwa wenzetu wale wanaoonyesha ustaarabu pamoja kuwa ni wa upande mwingine. AKITUKANA MWACHE USIMJIBU ATAJIONA MJINGA ATAACHA. Narudia, tunapokea maoni changamoto na ushauri toka kwa yeyote lakini si kejeli wala matusi. KILA LA HERI YANGA LEO UWANJA WA UHURU.

CM said...

Yanga vs Azam

Line up:
1. Obren
2. Mbuna
3. Maftah
4. Nadir
5. Owino
6. Chuji
7. Nurdin
8. Babbi
9. Tegete
10. Ngassa
11. Kiggi

CM said...

1-0 Ngassa dk.13

CM said...

2-0 Tegete dk 27

CM said...

2-1 John Boko dk42 (pen)

CM said...

Dakika 90 zimemalizika kwa ushindi wa 2-1.

Kwa ushindi huu Yanga inafikisha pt 45.

Simba itabidi iendelee kusubiri kwani endapo Yanga leo ingetoka sare au kufungwa basi Simba ingekuwa bingwa.

Mashabiki kadhaa wa Simba walijitokeza uwanjani leo na fulana zilizoandikwa SIMBA BINGWA kwa matarajio kwamba Yanga ingepoteza pointi dhidi ya Azam.

Anonymous said...

hawa tutawakamata kwenye mechi za kimataifa tutawashangilia wageni mpaka wataomba mechi iishe.subirinisimba na zimbwabwe.