Friday, May 07, 2010

Mchezaji wa Yanga Mrisho Ngassa anatarajia kuondoka wakati wowote kuelekea Rwanda kwa majaribio katika klabu ya APR ya huko.


Beki mahiri wa Yanga Nadir Haroub "Cannavaro" ameuandikia unongozi wa klabu hiyo barua ya kuomba kujiunga na Azam FC. Haroub bado ana mkataba na klabu ya Yanga.

5 comments:

Anonymous said...

Nafikiri yanga wamwache Nadir aende kama ameomba basi wamwache tu, ila kwa Ngasa watu mlio karibu naye mwambieni atulie atafutiwe timu za nje huko sweden na Norway hiyo papala pala ataishia kuja kufanya biashara ya mitumba

Anonymous said...

vingozi na wapenzi mimi nafikiri wacheza wanaotaka kwenda waende vizuri sisi tutatafuta wapya wanaocheza kwa moyo wa kucheza sio tunabakiza mchezaji hata hana hamu.

Anonymous said...

kweli mzee, kama anataka kwenda azam huyo Nadir na aende tu.Kwanza tuna mghana tunasajili ni defender mzuri tu.

Anonymous said...

Duhh! Wakubwa Nadir hapana ningekuwa na nguvu ningembakiza tu...lakini kwa kuwa anataka kwenda poapoa!

poker said...

PROMO DELIMA
poker online terpercaya | poker online | Agen Domino | Agen Poker | Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | Judi online terpercaya | bandar qiu | situs judi online

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat. Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: delimapoker
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___